Hata hili la Mkuu wa Mkoa Morogoro, Ole Sanare, halieleweki. Eti muda wake umepita!?! Hadithi za haflela ulela zimerudi? Ukuu wa Mkoa una miaka?!? Si alianza juzi tu akichukua nafasi ya Kebwe?!.Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa .
Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .
Angalizo : Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi , bali tunaomba kueleweshwa tu
Hayo ndiyo maajabu ya nchi yetu hii na hawa viongozi wa kisasa!Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa .
Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .
Angalizo : Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi , bali tunaomba kueleweshwa tu
Nilichojifunza kwa uelewa wangu Ni kutumbuliwa hizi lugha za kustaafu, muda umeisha nk Ni kUpendezesha tu. KAZI IENDELEEHata hili la Mkuu wa Mkoa Morogoro, Ole Sanare, halieleweki. Eti muda wake umepita!?! Hadithi za haflela ulela zimerudi? Ukuu wa Mkoa una miaka?!? Si alianza juzi tu akichukua nafasi ya Kebwe?!.
Kustaafu kwaweza kuombwa si lazima ustaafishwe. So huenda mama Mgwhira kaomba kupumzika
Na umri wa kustaafu urais ni miaka mingapi?Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa .
Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .
Angalizo : Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi , bali tunaomba kueleweshwa tu
Philip Mpango yeye aliugua kideli?Hilo linawezekana kuwa kaomba kupumzika kwani kama mnakumbuka huyu mama alikumbwa na corona mwanzo mwanzo tu na akatoa ushuhuda kuwa aliponea dawa ya kienyeji ya wachaga!!! Waliopona corona wanapata side effects mbaya sana kimwili wakibahatika kupona!!!
Hata yule aliyekuwa Dodoma anaonekana kuwa na umri mkubwa kuliko hao wawili, nadhani ifike mahali tumwogope Mungu.Haifahamiki , bali tulivyotangaziwa Anna kastaafu tukajua labda ni miaka 62 aliyonayo ndio mwisho wa wote , lakini tunaweza kuwa hatuko sahihi maana mkongwe mwingine wa umri huo huo kala shavu !
Philip Mpango yeye aliugua kideli?
Hamna umri wa kustaafu kwenye uteuzi, ila waliopo wanaweza kuomba kwenye mamlaka kuwa ikipendezwa asiongezewe muda. Ni sawa na kazi za mikataba vile vile. Hata kwenye teuzi unaweza kusikia mtu akaongezewa mkataba, nafikiri imetokea kwa jaji Mwangesi.Au kustaafu kunakosemwa kuna maana nyingine ? maana haiwezekani wote wafanane umri huku mmoja anastaafu mwingine anaajiriwa .
Kama yupo aliyeelewa jambo hili anieleweshe .
Angalizo : Hatuna ugomvi wowote na wawili hawa na wala hatupingi mamlaka ya uteuzi , bali tunaomba kueleweshwa tu
Nakumbuka hata Mwamri alipoondolewa Tabora tuliambiwa kastaafu lakini cha kushangaza aliechukua nafasi yake umri ulikuwa ni ule ule.Haifahamiki , bali tulivyotangaziwa Anna kastaafu tukajua labda ni miaka 62 aliyonayo ndio mwisho wa wote , lakini tunaweza kuwa hatuko sahihi maana mkongwe mwingine wa umri huo huo kala shavu !
Huyu ni ile sehemu ya biashara ya watu.. Anaona kabisa hii abouturn hawezi kwenda nayoMwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zito atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
Haifahamiki , bali tulivyotangaziwa Anna kastaafu tukajua labda ni miaka 62 aliyonayo ndio mwisho wa wote , lakini tunaweza kuwa hatuko sahihi maana mkongwe mwingine wa umri huo huo kala shavu !
U RC, DC na uwaziri ni vyeo vya kisiasa na sio utumishi wa umma kwa hiyo hawana muda wa kustaafu. Mkuu akikuona una umuhimu utaendelea tu, ndio maana baadhi wanakuwa mawaziri baada ya kustaafu kwenye utumishi wa umma. Mnamkumbuka Wassira? Ila mtu vile vile anaweza kumuomba Mkuu asimteue au akakataa uteuzi kwa sababu anataka kufanya shughuli nyingine kama kulea wajukuu, biashara, uanaharakati n.k.Kustaafu uRC ni miaka mingapi?
Makonda naye anajiita "Mstaafu"Nakumbuka hata Mwamri alipoondolewa Tabora tuliambiwa kastaafu lakini cha kushangaza aliechukua nafasi yake umri ulikuwa ni ule ule.
Huyu mama amesafu hizo nafasi za kiteuzi ukiona umefikia umri wako wa kustaff. Na unaona huna nguvu za kuendelea unaiomba mamlaka ya uteuzi ustafu kwa mujibu wa sheria, unahisi kakatwa mkia ingekuwa hivo si angepanguliwa tu hata bila kusema kastafu kwani shida inhekuwa nn? Wangapi wamepanguliwaMwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zito atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?