richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,023
Hii ndio hekima, nafurahishwa kuona viongozi wenye kiasi na kikomo, ikitosha imetosha na vyema anastahafu na heshima zake. Sio yule mlevi wa konyagi miaka 20+ ataki kupasisha kijiti cha mwenyekiti kwa wengine, je angepata nchi? Acha aendelee kusaka tonge awaburuze wenye ubongo mzito.Miaka 62 nadhani ameomba kustaafu ili alee wajukuu, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida maana haimpunguzii kitu. Makongoro Nyerere analingana na Mama Mghwira umri lakini jamaa ndo kalamba teuzi kwa mara ya Kwanza.
Umeenda mbali sana ndugu yangu, mimi nia yangu ilikuwa njema kabisa. Una wajibu na haki kikatiba kuuliza kuhusu jambo lolote lenye maslahi mapana ya taifa. Ushauri wangu kwako ulikuwa ni huu: You are smart above an average Tanzanian Millennial, you have influence and power in your hands. Bear in mind that your statements can bring about negative connotations and mayhem in case you are not vigilant.......Sasa labda ili nisionekane mbaya basi labda nisiwe nahoji haya masuala yenu yanayohusu teuzi za viongozi japo wanateuliwa kwenye nafasi za umma .
Atarudi jamii forum ni member mwenzetu mzuriMwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
Babu Slaa ni 1942Hivi ni vyeo vya kisiasa vya kuteuliwa. Havina hayo mambo ya ukomo wala hakuna sheria. Huenda Mama Mgwira kaomba kupumzika/kustaafu.
Ndio maana Dr Slaa bado yupo huko ubalozini anadunda (alizaliwa 1948), Asha-rose Migiro pia (alizaliwa 1956).
Mama amefanyakazi kwa hekima na weledi mkubwa, ni hazina kwa taifa, mfano wa kuigwa, nilibahatika kufanyakazi kwake katika mkoa ule, ni shupavu na hodari katika kazi, amewakilisha wakina mama vyema katika uongozi. kustaafu ni hatua njema katika utumishi, makofi kwakeHivi ni vyeo vya kisiasa vya kuteuliwa. Havina hayo mambo ya ukomo wala hakuna sheria. Huenda Mama Mgwira kaomba kupumzika/kustaafu.
Ndio maana Dr Slaa bado yupo huko ubalozini anadunda (alizaliwa 1948), Asha-rose Migiro pia (alizaliwa 1956).
Ann ana 60+ sidhani kama makongoro kafika 60. Anaweza kuwa anaikaribia. Fujo tu yule.Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
Huyo mkongwe mwingine labda jina lake kubwa la mwisho limembeba. Kumbuka dhalimu alimuwekea ngumu kuukwaa Ubunge. Eti kashindwa jimboni wakati huo huo kuna wengi walioshindwa kwenye majimbo yao lakini dhalimu jiwe aliwabeba.
Haturuhusiwi kutaja majina ya watu humu, tutakuwa bannedYani unamuita Maulid Kitenge mpenzi wako? 😠😠😠😠😠
Hivi Binilith Mahenge hakaribii 80 yuleKuna wanaomzidi umri mbona hawajastaafu. Unadhani angelimteua angelikataa
zaidi
Hivi hili la KE kuchukiana lina ukweli?Mama anaendelea KUDEMKA bado Wakuu wa Wilaya. Halafu usisahau KE wanachukiana Baraza la Mawaziri aliwaminya na Wakuu wa Mikoa pia kawaminya.
Hivi hili la KE kuchukiana lina ukweli?
Upo sahihi, mfano Said Meck Sadick aliacha ukuu wa mkoa akiwa ana miaka 72.Hamna umri wa kustaafu kwenye uteuzi, ila waliopo wanaweza kuomba kwenye mamlaka kuwa ikipendezwa asiongezewe muda. Ni sawa na kazi za mikataba vile vile. Hata kwenye teuzi unaweza kusikia mtu akaongezewa mkataba, nafikiri imetokea kwa jaji Mwangesi.
Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli?
Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
Sioni tatizo hata akibaki CCM maana hakumtendea mtu yeyote ubaya wakati akiwa ACT na hata alipopata bahati ya kuteuliwa kuwa RC wa Kilimanjaro
Una uhakika kafukuzwa, au umewaza tu?Kwa nn kafukuzwa kama hakua na ubaya?
Yanafikirisha sana!
Hajafukuzwa, tafuta press release ya Ikulu uisome vizuri sababu ya yeye kutoteuliwa tena. Mlimlishe SSH maneno ya uongoKwa nn kafukuzwa kama hakua na ubaya?
Yanafikirisha sana!