Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

Mwanasheria P, hii imeandikwa ktk mkataba upi? Maana huu feki hakuna hayo usemayo... Tujue tufute machozi bana🙏
Ile IGA ni MoU tuu, mkataba ni HGA, huu bado, ndio nimewadokoleo kiduchu kutoka jikoni unakopikwa!.
P
 
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi

Mlale unono!

Hivi ni wataalamu au vikosi kazi vya kusaka michongo ya 10%??
 
One key problem with this country is that transformation from monopartism to multiparty democracy is stuck and incomplete! In theory. In the mindsets. And in practice!
You would expect TISS for example to be exclusively autonomous for the best interests of the state. But the agency is technically redundant. It only protect the elites and not state interests!
 
Sasa kama kweli huwa wanasheria wetu au wataalamu wetu wanaohusika na hiyo mikataba huwa wanazidiwa ujanja inawezekanaje miaka yote hii kuanzia mikataba ya madini na gesi bado tu washindwe kuomba hata misaada ya kisheria huko UN ambako tunaambiwa vipo vitengo vya kusaidia nchi zenye matatizo kama haya. ??!
 
Duh 🙄 !
 
Sidhani kama wanazidiwa ila ni mfumo wa chama dola wa kujitoa ufahamu, (unyumbu). Unyumbu nitabia ya watu wanao fikiri vizuri kuahirisha kufikiri kwasababu ya kulinda masilahi ya kundi fulani, (CCM), ama uoga wa kuwaogopa viongozi wao. kwakinyakyusa tunaita 'herding behavior'. Herding behavior is an occurrence of thoughtful people suspending their reasoning because of group objective or fearing their leaders
 
Upo sawa kabisa kuongelea akili zao 100%.
 
Huyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.

Prof. Tibaijuka alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji, kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.

Magufuli aliufuta mradi.
Acha upuuzi mradi wa Kigamboni ulikuwa ni Ilani ya CCM
 
Yaani kuna baadhi ya watu wanashikiwa akili zao na watu wengine ?!! Maajabu haya. !
 
Huyu bibie wa port namkubali .ila napenda nimkumbushe kuwa Bi tozo nae ni binadamu kama wengine anaweza patwa na hamu ya mboga vile vile.
 
Kutetea huu mkataba kazi sana, bora mnyamaze kimya tu.

Hayo maendeleo utayapataje wakati umeshawapa waarabu operation zote wafanye wao milele? kwani wao wajinga wasipeleke profit kwao wawape nyie?!
Good point
 
Unafiki uko wapi hapo sasa. Hata kama alikuwa mwizi inamaana akiona unaibiwa akikuambia hutaki au una ujinga.

Inawezekana huelewi maana ya neno unafiki...adios
 
Inawezekana huelewi maana ya neno unafiki...adios
Yaan point yako ninini. Kwamba sio kweli alichosema au kwasababu na yeye ni wale wale. Maana hapa ishu ni mkataba wa bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…