Uzalendo hal8si ni yule aliye mzalendo hata baada ya kuoata mamlaka tumia akili wacha kuwa na uanithi wa akili wengi ubadilika baada ya kupata vyeo au uraisWapi ww, uzalendo wa cheo sio uzalendo. Kuitwa bulldozer ndio sifa ya kuwa rais? Lisu hajasubiri urais ndii aonyeshe uzalendo wake.
Prof Assad kwenye interview moja alisema aliwahi kushangaa wamefika watu wanamwambia fuata maelekezo ukishindwa tuko na watu wetu nje hapo hatushindwi kuwaleta na kukutoa.Prof. Assad Aliwezaje kukiuka maagizo kutoka juu?? Uadilifu wake ulikuwa wapi akipokea maelekezo ya kutamka maneno ya kinyama dhidi ya TAL?? angekaa pembeni angekumbukwa kama shujaa. Anyway apumzike atakapo pokelewa. Sote njia yetu ni moja. Tujifunze kuthamini uhai/utu wa mtu mwingine
SahihiILIPASWA AYASEME HAYA KABLA YA HUYO MWEHU KUFA !
TOFAUTI NA HAPO HUYO NAYE NDO WALEWALE !
Mwisho wa siku hakufuata maelekezo na alitoka. Hii ndio maana halisi ya uadilifu. Kuna watu kwao madaraka/pesa ni bora kuliko utu wao, watu wa dizaini hiyo huwezi kuta wanafikiria watu wengine maana yeye binafsi bila cheo fulani anajiona hajakamilika na yuko radhi kufanya lolote hata kutweza utu wake binafsi ilimradi abaki/apate cheo.Prof Assad kwenye interview moja alisema aliwahi kushangaa wamefika watu wanamwambia fuata maelekezo ukishindwa tuko na watu wetu nje hapo hatushindwi kuwaleta na kukutoa.
Huu ndiyo wakati uliokubalika wacha watu waseme ukweli wote ili mradi tu wasitulishe matangopori.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
TakatakaBaba yako aliuza ng'ombe wake kuku somesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombe
Naam katika hili Prof nilimpongeza kwa kukataa udikteta uchwara.Mwisho wa siku hakufuata maelekezo na alitoka. Hii ndio maana halisi ya uadilifu. Kuna watu kwao madaraka/pesa ni bora kuliko utu wao, watu wa dizaini hiyo huwezi kuta wanafikiria watu wengine maana yeye binafsi bila cheo fulani anajiona hajakamilika na yuko radhi kufanya lolote hata kutweza utu wake binafsi ilimradi abaki/apate cheo.
Utazaa wewe kwa niaba yakeHalafu inaelekea huyu mama Prof. Tibaijuka alikuwa anampenda Job ndugai sana
Maskini mama sasa utabaki na nani? Halafu hata hujazaa nae🤣🤣🤣🤣
Kaiga, maana ni mshenzi ila hana ukatili wa magufuli.Kaiga au alikuwa hajapata tu mamlaka yenye kinga???
Kwahiyo huwezi kuwa mzalendo ama kuonyesha uzalendo wako hadi upate madaraka?Uzalendo hal8si ni yule aliye mzalendo hata baada ya kuoata mamlaka tumia akili wacha kuwa na uanithi wa akili wengi ubadilika baada ya kupata vyeo au urais
Watu wa rwanda ndo walivyoMagu alikuwa anaendesha nch km familia yake.yule dingi alikuwa na roho mbaya arifu
Hii kauli ya huyu mama makes very big sense...Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
tunaomba aya ya hii kauli yakoAlikuwa MNAFIKI, Uislam unapinga sana Mtu mnafiki kama huyo
Tumiq akili wewe pimbi ukijifunua tu wahalifu wakina Rostam azizi na wenzie wanakumaliza .....tatizo lako una akili za kuchezea rede na dada zako siyo akili za kijiniasi kuelewa mambo ...wewe ujui kuwa wahalifu wa kiserikali awataki kabisa kumwona mzalendo na adui yao no 1 ni WAZALENDOKwahiyo huwezi kuwa mzalendo ama kuonyesha uzalendo wako hadi upate madaraka?
Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalila kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Kama wewe na uanaume wako umeshindwa kupigania katiba na tume huru....then unataka mwanamke afe kisa kusema ukweli?ILIPASWA AYASEME HAYA KABLA YA HUYO MWEHU KUFA !
TOFAUTI NA HAPO HUYO NAYE NDO WALEWALE !