Hata huyo mnayetaka tumuone ni mzalendo aliua wakosoaji wake kupitia kundi lake la watu wasiojulikana, usidhani tunamuona wa tofauti sana. Isitoshe alikuja akawa karibu sana na huyo Rostam, usione kama tumesahau.Tumiq akili wewe pimbi ukijifunua tu wahalifu wakina Rostam azizi na wenzie wanakumaliza .....tatizo lako una akili za kuchezea rede na dada zako siyo akili za kijiniasi kuelewa mambo ...wewe ujui kuwa wahalifu wa kiserikali awataki kabisa kumwona mzalendo na adui yao no 1 ni WAZALENDO
Kiongozi anayejitetea kutofanya kitu sahihi kwa sababu ya "amri kutoka juu" ni mtu asiyeelewa uongozi ni nini. Hakutakiwa kuwa kiongo,i. Hana integrity wala strength of character.Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Soma Pia: Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Khaa! Wewe ungeweza?Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Wewe dini gani hata daudi aliua sana tu muhammad aliua sana tu tatizo siyo kuua ...mimi binafsi nataka rais mwenye kuua haswa ..ila anaua watu gani ? Anaua wazalendo na kuwalinda wahalifu au anaua wahalifu na kuwalinda wazalendo ...kosa la JPM NI KUTOKUWAUA WOTE NA KWA HARAKA WALIO STAHILI KUULIWQ ...HIVI MTU KAMA SINGA SINGA UNAMPELEKA MAHAKAMA KUFANYA NINI ...NCHI HII KUNA WATU KAMA 400 AWAKUSTAILI KUISHIHata huyo mnayetaka tumuone ni mzalendo aliua wakosoaji wake kupitia kundi lake la watu wasiojulikana, usidhani tunamuona wa tofauti sana. Isitoshe alikuja akawa karibu sana na huyo Rostam, usione kama tumesahau.
Tutazika wenginna hakika wakubwa wetu wakiamua kufungua vifua vyao tutapoteana
Kwani katiba Yao ya CCM inasema Nini kuhusu Kuwa mkweli?Kama wewe na uanaume wako umeshindwa kupigania katiba na tume huru....then unataka mwanamke afe kisa kusema ukweli?
Better late than never.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Kwani kua mwana wa singida ndio kunaleta nini?Lissu ni mwana wa singida hakika watasema yote baba
Maelekezo ya Mwendakuzimu.Na kusema toa njee Mnyika nisimuone hapa mpaka wiki ijayo
Toa nje Tundu Lissu
Chezea mtu yoyote ila siyo Ndugai.
Ni maelekezo ya nani?
Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Kwake hiyo ndiyo right time, hii dunia timing ni kitu muhimu sana.ILIPASWA AYASEME HAYA KABLA YA HUYO MWEHU KUFA !
TOFAUTI NA HAPO HUYO NAYE NDO WALEWALE !
Wale walio hai, kama wakitaka kuishi kwa amani ktk nafsi zao, watoe mizigo yote ya madhira iliyoelemea mioyo yao sasa before it's too late...nna hakika wakubwa wetu wakiamua kufungua vifua vyao tutapoteana
Ninesema eneo alikotoka sina kitisho chochote unaonekana una mapokeo negativeKwani kua mwana wa singida ndio kunaleta nini?
Na ndiye aliyefanikisha kumnyima pesa za matibabu na kumvuwa ubunge.Kumbe Ndugai ndiye alifanikisha Tundu Lisu kupelekwa Nairobi? 🐼
Hapa ndipo utaona umuhimu wa katiba mpya. Muhimili mmoja unapoingilia Muhimili mwingine. That means Muhimili mmoja hauko huru 🤭🙊🙆🏾Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.