Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.

Your browser is not able to display this video.
 
Hao wote sio wabunge wetu wamepita Kwa Kuiba kura na kuuwa watu.
 
😂
Bunge la jamhuri ya Muungano wa futuhi
 
Huyu nae anaugua ugonjwa wa akili wa kujipendekeza, anayemtaja kwanza siyo rais. Ni mkoloni anayewatawala watanganyika kinguvu!
 
Upumbavu ni kipaji. Ndo anachothubitisha huyu mpumbavu.

Uzuri hatuna muda wa kusikiliza wapumbavu
 
Upumbavu ni kipaji. Ndo anachothubitisha huyu mpumbavu.

Uzuri hatuna muda wa kusikiliza wapumbavu
Wanaendelea kuwepo madarakani wakiwaachia nyinyi mtukane kadri mnavyojisikia humu mitandaoni.

Hayo mapovu yenu hayawezi kuwanyima usingizi kwa namna yoyote ile.
 
Takataka, huyo mkoloni kutoka mchambawima ndio anatakiwa ajue Tanganyika ni nchi kubwa lakini hatajificha milele.
 
Taifa kubwa taifa kubwa taifa gas,hovyo kabisa taifa dogo ni lipi sasa?
 
Wanafahamu ndio maana nusu ya nchi walimpigia kura akashinda kwa 98%😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…