Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Uchitema nchale..! Uchimecha nchale...! Patam hapo...!
 
Kwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.
 
Naona busara inatumika,katika utendaji wake kajijengea maadui wengi.Tuwe na akiba ya maneno,tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.

Yani nadhani DAB sasa ana hali mbaya, akitumbuliwa hana pa kuishi maana maadui wake ni wengi na wenye uwezo kumfanya watakavyo, sasa jiwe anajua hilo na laxma atumie busara nyingi, ila atambeba hadi lini maana bado miaka saba tu jiwe ataondoka!?
 
Mkuu jiwe alishamchoka DAB mda hadi anyanganywe ulinzi na msafara sio leo
 
Kua uyaone
 
Ndio, wanaweza. Kuna namna mbalimbali za kukutaarifu kuwa hawajamkubali balozi mteuliwa.
Inachukua muda gani baada ya nchi husika kupeleka jina na wao kurijadili kisha kuleta jibu kuwa wamemkataa?
 
Hata wakati wa mjadala wa gesi ya Mtwara mlikuwa mnasema hivo kwamba wapinzani siyo wazalendo na wazushi. Leo jiwe analialia tu kwamba gesi imechukuliwa na wakubwa.
Kwaiyo gesi ya mtwara haiendi Tena dar ?? Yale mabomba yamechimbiwa chini yanapeleka Nini
 
Wewe sasa unaanza kufilisika kimawazo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…