Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Hauna unachojua wewe. Hali ya mambo nchini ni "Unprecedented" na hili linajulikana even beyond the borders hivyo acha ushabik lumumba.
 
Ipo siku nayo yaja, tutakapoufahamu ukweli wote. Uzuri ukweli huwa haujifichi daima.

Nasikitika tu hawa ndugu wataficha wapi nyuso zao? Musiba na makeke yake yaliyojaa kiburi cha hali ya juu hata kutaka kuamrisha vyombo vya dola atauficha wapi uso wake ikiwa anatumika? Je, Ngurumo ikiwa unalolisema ni la kutunga, je unawatakia nini watanzania? Kama ni story kama story nyingine, je baadaye yako itakuwaje?

Musiba ukija na hoje zako bila ushahidi hizo ni hoja mfu, hivyo toa ushahidi wa kueleweka...usiwe kama ushahidi uliotolewa kwa yule "Kinyago wa Iringa". Ngurumo vyanzo vyenu vya habari (Asante teknolojia) viambatane na picha ili kuepuka kuleta hadithi.

Mwisho, tujenge taifa lenye mshikamano, tusipasue taifa vipande vipande maana kwa sasa ukanda umeshika kasi sana. Kuna watu ktk nchi hii wamekuwa washabiki wa ukanda kuliko uhalisia wa mambo yanavyokwenda
 
Unashangaa?! Ina maana anahariri habari za waandishi bila mipaka?
 
Serikali ya CCM awamu ya tano inanuka damu. Wao wanawaza kuua tu kila uchao.
 
c) Idara ya Usalama wa Taifa haijui haya au imenyosha mikono, inafuata maagizo, na imeamua kuacha hatima ya usalama wa nchi hii mikononi mwa watu wawili?

Hiyo AU kwenye red vipi? Uhakika hauna?
 
Tujuzu basi ilikuwa vipi?,Mkuu
 
Kikao cha ulinzi na usalama si vikao vigeni kila Wilaya huongozwa DC. ngazi ya Mkoa ni RC ni vikao muhimu hasa kipindi hiki tunakoelekea sikukuu
Musiba ni nani katika kikao cha ulinzi na usalama cha mkoa? Tuanzia hapo!
 
Good thing ni kwamba ukweli unatabia ya kutotaka kupuuzwa.Time will tell but bad thing ni kwamba inaweza ikawa too late for us.
 

Kikwetu, kuna ndege mmoja ambaye ana tabia ya ubabe. Akikuta mwenzie ametengeneza kiota, yeye hutengeneza kiota chake juu yake. Yule ndege mwenyeji akilalamika, huyu mvamizi humwambia kwamba 'ukinivunjia mayai mi nakupasua macho'!

Sasa hawa jamaa (CHADEMA na Serikali) wanashambuliana kwa zamu. Kila mtu akimtuhumu na kumtishia mwenzake. Lakini hapa kuna maswali magumu sana.

1. Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wanajulikana ki-protokali. Je, ktk kikao hicho Musiba alihudhulia kama nani? Na kati ya wajumbe hao, nani ana report kwa Ngurumo? Je, hii inaweza kuwa inathibitisha madai ya Musiba kuwa ndani ya CHADEMA kuna watu wenye vifaa vya kudukua mawasiliano ya viongozi wa serikali?

2. Kama records zangu ziko sawa, ni kama Musiba alifanyia Press Conference yake Dodoma. Waandishi waliohudhuria wanaweza kutuambia hapa kuwa hiyo Press iliisha saa ngapi. Baada ya hapo Musiba alisafiri kwa usafiri gani mpaka akawahi kikao cha saa 9.00 alasiri Dar? Kama alipanda ndege, alijigharimia safari yake hiyo? Kama siyo, nani aligharimia na kwa maslahi yepi?

Otherwise, naona tunakoelekea nchi yetu itakuwa ya hovyo haijapata kutokea. Hata mataifa mengine watatucheka kwa jinsi tunavyoendesha mambo yetu ki-holela!
 
Musiba anatuletea habari na vielelezo (evidence) Sasa hii ya kwako ni kama katiba kwamba tuikubali duuuu

Unaweza weka vielelezo vya FBI kumfadhili Mange Kimambi. Ama Denmark na Ujerumani kuwafadhili CHADEMA ili wachafue nchi. Ama FBI kuwafadhili Maria Sarungi na Ansbert Ngurumo aliye exile Scotland (hndiyo huyo Musiba alisema Scotland, wakati jamaa yupo Finland).
 
c) Idara ya Usalama wa Taifa haijui haya au imenyosha mikono, inafuata maagizo, na imeamua kuacha hatima ya usalama wa nchi hii mikononi mwa watu wawili?

Hiyo AU kwenye red vipi? Uhakika hauna?
 
Ngurumo hawajui wazungu siku wakihakiki na kuona vitu anavyosema uongo watamrudisha Tanzania hata na drip kama kalazwa hospitalini yeye aendelee tu kutunga vitu
Wazungu siyo wajinga kiasi hicho na wanajua yanayoendelea hapa nchini kwani wana access kubwa kuliko wewe. Usimtishe!
 
Upinzani mna hali ngumu.
Hakuna alie Salama wakimaliza upinzani kitu ambacho ni ndoto za kuukimbiza upepo watakuja kwako, tia maji tu wakinyolewa,azoea kuvuruga hata akibaki mwenyewe atajivuruga tu,kuvuruga ni nature.
 
Alah! Zawadi ya ukweli ni risasi nyingi eeh! Mbona mmejawa na roho za kikatili kuliko shetani? Kwani mkimjibu kwa njia aliyoitumia hatopata majibu? Ccm kumbukeni hamna hati miliki ya maisha ya wengine kwani uhai wake siyo mali yenu!
 
Wapiga kura wa Kinondon walioibiwa kura zao walipiga magoti na kumlilia Mungu
Mungu kakataa asiapishwe na asikanyage kwenye jengo lile! Majibu ya Mungu hayamsubiri yeyote kaburini bali hapahapa tena ukiwa unapumua ili wengine tujifunze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…