Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

Technology haishwindwi kitu inaweza kudukua taarifa
 
Unataka kutuambia Watanzania tuwajinga, polisi wetu wote ni wazembe, intelijensia yetu inayochuga nchi nzima ni wazembe, NA watu kama wewe NA Lema mnawashinda akili.

Isn't it obvious? Ni wazembe kwa kiwango kisicho na mpinzani. Kama kuna 'dola' ndani ya dola ya Tanzania inayoitwa 'TUME', na vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kuwagundua mpaka Musiba awagundue, basi huo kama si uzembe, itakuwa nini sasa? Yes, Lema kama kiongozi wa 'TUME' definitely amevishinda akili hivyo vyombo. Pili, hadi leo waliofanya assassination attempt kwa Lissu hawajakamatwa, siyo uzembe huu? Vipi, kuhusu watu kuuawa, kupotea na kutekwa? Hadi leo haijulikana walipo Azory na Ben!! Si ni uzembe huu ama?
 
mkuu pascal kwasisi wandishi nafikiri kunakitu umeona hapo nihatari sana
Mkuu Mwanahabari huru, kumbe upo?, kwa vile Ngurumo mwenyewe ameishaingia humu mazima in person akiwa ni verified, nakushauri sasa pumzika, acha mwenyewe aje, tubanane nae humu humu.

Ni kweli kuna kitu nimeona hapo sio tuu ni hatari kweli bali kinatisha, sisi ambao hatuna mahali pa kukimbilia, kuna wakati, unapaswa kufunga tuu mdomo na kushangaa, kama mimi ninavyoshangaa kwenye bandiko hili na haswa the authenticity of the story, ikizingatiwa imeripotiwa na mhariri wa kuaminika, ila pia inaweza kabisa kuwa ni concoction kwa sababu hata waandishi wakubwa na wahariri kama kina Salva, na Mtanzania, waliwahi ku concoct na kushuka na concoction kumhusu Dr. Salim Ahmed Salim.

This is something serious, something big, something very dangerous, mpaka sasa mimi bado siamini!.

Tusubiri.

P
 
Huyu jamaa anatuonaje eti, kesi ya kubumba wakati audio na video za mbowe akitamka yale zipo na full text!!

Watanzania wajinga waliobakia ni wale wanaosubiri taarifa toka TBC1. Lakini tunaosaka habari wenyewe tunaelewa mambo mengi.
 
Watanzania wajinga waliobakia ni wale wanaosubiri taarifa toka TBC1. Lakini tunaosaka habari wenyewe tunaelewa mambo mengi.
Hahaha mnakula matangopori mkuu
 
Halafu linaonekana linaamini sana ushirikina
Kuamini ktk shirki upunguza uwezo wa kufikiri, ni sawa na kucheza puto kwenye miba,ushirikina ungekuwa unafanya Kazi ungemsaidia raisi wa Gambia aliekimbizwa na wananchi Yahya Jameih hali alikuwa ni gwiji na kumiliki waganga wote,haujamsaidia Mugabe, Iddi amini nk madikteta waliokimbizwa na nguvu ya umma.Ni suala La mda tu.Wanaangukaga vibaya sana.
 
Crap
 
Hivi Mtulia bado ni mahututi?Ni kama walitoa clips zake akijitutumua kuongea!
 

Huu ni uandishi uliokusa credibility.
Ila kuwa mafichoni hawezi kuendelea kuongea uwongo kila siku...
Hata huko waliko Muhifadhi wanasheria zao za uandishi.
 
Mkuu Mathematique, wewe kama jina lako lilivyo, umeulizwa maswali ya msingi sana tena ya kiahesabu.

Kama Musiba alikuwa Dodoma siku hiyo hiyo akaongea na media, halafu akawa Dar jana hiyo hiyo kuhudhuria kikao cha KUU cha mkoa na huku yeye sii mjumbe, alihudhuria kama nani?. Alitokaje Dodoma na kuwahi Dar saa 9:00 alasiri?.

Kwenye mambo ya info, kuna mabingwa wa propaganda, wanakutupia fupa linaitwa bait, ukilikimbilia na kuligegenda kwa kuutangazia umma, baadaye zinaletwa picha za Musiba akiwa Dodoma na Makonda akiwa kanisani, wanakuwa officially wamemlaliza Ngurumo kuonekana muongo. Hivyo sio vizuri kufakamia kila unachotupiwa na kula tuu, vitu vingine ni mitego tuu vimetiwa sumu!.

Lets wait and see.

P.
 
Hii habari ni kweli kabisa,Maliyamungu ni tishio
 
Tu nashukuru sana kwa kutujuza
 
Hutaki au?
 
When a dog is let out to Jamii forums. This is what we call Vocal Diarrhea. Asbert Ngurumo does not take advice from you.
Does he take from you?? What an IDIOT!!
If you read my comment, with just common sense, you'll realize that i didnt offer any advice to anyone, only a fool like you, a statement, you dearly take it as an advice!! There is a thin BUT 'visible' line btn a statement and an advice!!
 
Unashangaa nini sasa?
 
Mbowe anadai Democrasia Wakati yeye ametawala zaidi ya miaka 20 kama Mwenyekiti, hivi hakuna wengine wenye akili huko CHAGADEMA? Democrasia iko wapi huko CHADEMA kama Mbowe amekifanya Chama ni hati miliki yake na Ukoo Wa Ndesamburo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…