Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

umeletwa wapi?
Mwanahabari Huru, unajua madhara ya kutoa habari kama hiyo, au hujui? Ukikamatwa kuthibitisha nawe utasema haki na uhuru wako umeingiliwa?

Nimekidharau na kila bandiko lako nitalisoma kwa jicho la tatu.

UPUUZI NA UJINGA. MTU MZIMA HOVYO,
 
wenye uwezo wa kutafakari wanajua kwanini umekimbilia hapa na kuleta uharo wako fasta fasta.
Mengi aliyo ongea ngurumo tumeyaona yakitokea.
 
Mods tafadhali msiunge hii thread na nyingine. Hata kama ikija order kutoka juu.
Naona mnakiuka hadi kanuni zenu.
Mnatunyima Uhuru wa kujadiliana hoja mpya
Hoja gani iko katika bandiko hilo zaidi ya uzushi? Hata kama ni ukweli, je, ni taarifa ya kujadili?
 
Uzi mtam sana hiu wacha uendelee tu umeshagonga sehem nyeti [emoji108] [emoji196]
 
Mwanahabari Huru naona sasa umebobea kuleta taarifa za uchochezi hapa JF na Moderator wamekuacha tu!! Sina uhakika kama unaweza kutudhibitishia taarifa hii kama ni ya kweli kwa kuwa wewe ndiyo unaisambaza!!
 
Jamaa kaishiwa. Jana kauleta huu udaku, leo tena vile vile. Si ajabu akaurudia tena kesho na kesho kutwa.
Anauleta kwa malengo yake anayoyajua, ila anasahau, kwa kujua au makusudi, kuwa anatoa ushahidi dhidi ya viongozi wake walioko rumande.
 
Katika kufanya uharifu si wote wataunga mkono, hivyo hata mkiwa wawili itavuja tu. Mara ngapi watu kwenye ndoa hutoa siri zao wenyewe kwa wenyewe.
 
Ulivyoanza nilidhan utasema ukweli ambao ansbert ngurumo hakuusema kumbe na wewe ni walewale tu
 
Inavyoelekea lengo la kwenda nje ni kutafuta uhuru wa kuwatumikia mabepari bila kufikiwa na mkono wa sheria za Tanzania. Anafanya mambo kama yale ya Mange Kimambi nimenza kufikiri hakuwa anafanyiwa vitisho kama alivyasema bali, alitafuta njia ya kwenda kuishi nje ili akafanye anayoyakusudia.
 
Acha mahakama ifanye kazi yake,mashitaka ya Mbowe yapo hadharani,alichoongea kipo recorded,hakuna kilichopungua wala kuongezwa,ni jukumu la kina kibatala kupangua mashitaka kwa vifungu vya sheria kisha Mbowe kua huru,kutafuta huruma humu jukwaani kwa propaganda za kijinga haisaidii kitu,akipatikana na kosa atawaka tu
 
Reactions: UCD
modeators huu upuuzi umekuwa ukiletwa mara kwa mara unafutwa analeta tena/Unaona kabisa uzushi moderators dont tolerate vitu kama hivi
shut up your ass,unawachagulia watu cha kuandika humu wewe ni nani?go to hell son of bitch.
 
Huo "Msiba" unahudhuriaje hicho kikao?

Kwa position ipi aliyonayo ili ahudhurie?
Kwa hiyo na Musiba ni mjumbe?
Kuna ushahidi Musiba alihudhuria? Kama ni kweli alihudhuria, shutuma alizozitooa hadharani anawajibika kudhibitisha. Na kwenye kikao cha ulinzi na usalama, ni sehemu sahihi ya yeye kuitwa kuthibisha hayo mazito aliyoyasema kwa kuwa yanagusa usalama wa Taifa.
 
Hapa ndo mtaona subjectivity ktk kufikiri kwa wafuasi wa chadema. Ikija ya ccm wanashangilia sana ikija ya chadema hayo matusi mh.Huyo ngurumo na musiba wanatofaut gani?
 
Paskal ,Wachache sana wanaweza elewa umekusudia nini kwenye reply yako,ila nimekuelewa mkuu,wajinga ndo waliwao
 

Ni kweli haya ni maelezo tu yasiyokuwa na evidence....lakini yanafikirisha hasa kwa kuhusianisha na matukio yanayoendelea sasa.....

Hata hivyo, nadhani ikithibitika pasipo shaka kwa ushahidi mahali walipokuwa hawa Rais Magufuli na RC Makonda jana, tunaweza kuthibitisha haya kuwa ni uongo na siasa zilezile tu ama ni kweli....

Kama Bwana John Pombe Magufuli alikuwa kanisani "akibusu msalaba" ndani ya muda uliotajwa na mwandishi, then habari hii yaweza kuwa kweli for at least 90%....

Kama Paul Christian Makonda a. k. a Albert Bashite hakuwa ktk kanisa lolote "kubusu msalaba", then hii habari yaweza kuwa kweli kwa 100%!!

Else tuendelee kuziona kama speculations tu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…