Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
File lake lipo hapa,hataki hata kumeza haloperidol.Usikute na mtoa mada nae faili lake lipo huko huko Mirembe! Nawaza tu lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
File lake lipo hapa,hataki hata kumeza haloperidol.Usikute na mtoa mada nae faili lake lipo huko huko Mirembe! Nawaza tu lakini.
Ujumbe wa shujaa fakeMuhimu ujumbe wake umeshafika, tumeutafakari tumeuona haukuwa na tatizo.
File lake lipo hapa,hataki hata kumeza haloperidol.
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli...Hiki ni kipindi cha kila mtu kutaka kujulikana kwamba ni shujaa, hata kama ni kwa sababu za kuipuuzi. Naagalia maelezo ya Diallo, ni wazi kwamba hajitambui nafasi yake na hatambui matokeo na maelezo yake. Kwa kiasi kikubwa ni elimu ndogo aliyonayo ambayo haikuongezeka kwa miaka yote aliyoacha kazi yake ya RMA na kujiita daktari...
Ahaa Dialo tumekusikia kwa masikio yetu Leo umeamua kikana kivuli chako.hadi watoto wamekusikia huo mda mbona wengi wao walikuwa hawajalala.leo baada ya kusakwama umeamua kupindua meza eti hujaongea ivo eti watu wametafasili vingine.simamia msimamo wako we sema ulichokiongea ndicho hicho hich .Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua mjadala ndani na nje ya chama chake.
Dk. Diallo amesema, ametafasiriwa vibaya na baadhi ya watu huku akiwataka wanachama wa chama hicho tawala nchini Tanzania kuwa makini kwani wapo wasiowatakia mema wanatumia mwanya huo kuwachonganisha...
Very soon ataitwa na kamati za chama aunganishwe na Jasusi Bobezihuyu afutiwe uanachama kabisa
Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweliHiki ni kipindi cha kila mtu kutaka kujulikana kwamba ni shujaa, hata kama ni kwa sababu za kuipuuzi. Naagalia maelezo ya Diallo, ni wazi kwamba hajitambui nafasi yake na hatambui matokeo na maelezo yake. Kwa kiasi kikubwa ni elimu ndogo aliyonayo ambayo haikuongezeka kwa miaka yote aliyoacha kazi yake ya RMA na kujiita daktari...
Ukweli gani bwashee?Sasa bwashee kwani alisema uongo?
Jamaa mjanja sana, kafikisha ujumbe wake halafu anawaambia am very sorry.Ujumbe wa shujaa fake
Mkwepa Kodi aliyenyooka?Ujumbe wa Dr. Diallo umenyooka kama rula. Ni nadra sana kwa wana CCM kuziishi ahadi zao za nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko kama alivyofanya Dr. Diallo. Tumpongeze kwa hili.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua mjadala ndani na nje ya chama chake...
Ni hadi uwe na akili Ili kumuelewaHiki ni kipindi cha kila mtu kutaka kujulikana kwamba ni shujaa, hata kama ni kwa sababu za kuipuuzi. Naagalia maelezo ya Diallo, ni wazi kwamba hajitambui nafasi yake na hatambui matokeo na maelezo yake. Kwa kiasi kikubwa ni elimu ndogo aliyonayo ambayo haikuongezeka kwa miaka yote aliyoacha kazi yake ya RMA na kujiita daktari.
Kama kweli alijitoa muhanga bila kujali nafasi yake, iweje siku moja tu unaomba radhi? Hii ni kutaka kujinyonga, kitendo ambacho ni cha kipuuzi, halafu pia ukashindwa kuchagua tawi zuri au kamba imara ya kukamata shingo yako, ambao ni upuuzi wa juu zaidi. Kwa mtindo huu CCM bado muna mbumbumbu wengi tu!
Sasa mwenyekiti wa CCM wa mkoa, kakiri kwamba ccm ilituletea mtu mwenye ulemavu wa akili awe Rais wa nchi, UTOTO ubatoka wapi?Unasumbuliwa na utoto.
Kuwa tuliongozwa na kichaa bwashee.Ukweli gani bwashee?
Ukweli ambao umewekwa wazi ni kuwa Diallo alidhania kufanya kampeni kupitia Star tv mwaka 2015 ndio loophole ya kutolipa kodi. Sasa alichobakiza ni hasira baada ya kulipishwa kodi.Ni hivi, aombe msamaha au la, ujumbe sahihi umefika kuwa dhalimu alikuwa na tatizo la akili, na alikuwa ni mlevi wa madaraka. Ukweli una tabia moja tu, hata ukitaka kuukanusha huwa haukanushiki. Amesema ukweli ambao wanaccm na watanzania wote wanaujua, japo ukweli huu unalindwa na ccm kwa nguvu zote usisemwe hadharani.
Oooh masikini, too late ujumbe wa kwanza ndio umepokelewa pakubwa mno 🤣🤣🤣Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, bwana Anthony Diallo amewaomba radhi watanzania kwa kauli zake alizozitoa kuwa viongozi wa Serikali waliopita walikuwa na mafaili mirembe.
View attachment 1849688
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua mjadala ndani na nje ya chama chake.
Dk. Diallo amesema, ametafasiriwa vibaya na baadhi ya watu huku akiwataka wanachama wa chama hicho tawala nchini Tanzania kuwa makini kwani wapo wasiowatakia mema wanatumia mwanya huo kuwachonganisha.
Ni baada ya jana Jumamosi, tarehe 10 Julai 2021, kuzungumza masuala mbalimbali yaliyojitokeza katika utawala wa awamu ya tano akigusia suala la nchi kuongozwa kwa matamko.
Dk. Diallo aliyewahi kuwa waziri, alizungumza hayo katika kipindi cha Ajenda, kinachorushwa na kituo chake cha televisheni cha Star TV, jijini Mwanza.
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kupata maoni yake juu ya nchi kuongozwa kwa matamko bila kufuata Katiba na sheria, Dk. Diallo alisema, kuna umuhimu wa kuangalia historia ya mtu kabla ya kupewa dhamana ya kuongoza.
Mimi nafikiri tuwe waangalifu tu katika kuchagua tuwe tuna ‘track record’ kwani huko nyuma tuliwahi kuchagua watu walikwisha kwenda hospitali za vichaa ‘milembe’ harafu unamwachia aongoze nchi, kwa hiyo tuwe makini,” alisema.
Kauli hiyo ilizua mjadala na leo Jumapili, tarehe 11 Julai 2021, akizungumza na waandishi wa habari amesema “nilifanya kosa kwa kutolea mfano wa wakati uliopita badala ya wakati ujao kuwa tusipokuwa waangalifu tunaweza kuchagua viongozi wenye matatizo ya akili.”
Na sijasema mtu kuwa aliyekuwa na tatizo ila nilikosea tu kwenye maelezo. Nawataka radhi wale ambao walinielewa vibaya kwani wapo waliotafasiri wanavyojua wao,” amesema Dk. Diallo.
Mwanasiasa huyo mkongwe nchini amsema “mimi nadhani tuwe waangalifu sana hasa wana CCM, tumeanza kuingiliwa sana.”
Dk. Diallo amekosoa kitendo cha baadhi ya viongozi wa chama hicho kuanza kutoa matamko kabla ya kumsikiliza au kumuuliza alikuwa ana maanisha nini.
“Unakuta ni kiongozi wa chama anatoa tamko na kunituhumu kama vile nimefanya kosa, bila hata kuniuliza. Lazima tuwe waangalifu sana wana CCM,” amesema Dk. Diallo.
Miongoni mwa viongozi waliomshtumu ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM), Kenani Kihongosi alisema, viongozi walioaminiwa na “chama chetu, na wanakaa katika vikao vya maamuzi, tunawaomba wawe na nidhamu na chama hiki.”
“Chama hiki ni kikubwa kuliko mtu, kwa hiyo mwenyekiti na katibu mkuu wetu, niwaombe sisi kama UVCCM, kauli ile imetuudhi sana, mwenyekiti wa CCM anapozungumza hivyo hapaswi kuungwa mkono.”
Kihongosi aliongeza kwa kusema “kama yeye aliona wanapaswa kwenda milembe hapa anafanya nini, kama ni vikao vya maamuzi yeye ni miongoni na kauli zile kama sisi vijana zinatuvunja moyo.”
Mwanahalisi
Mbona povu mkuu 🤣🤣🤣Cdm mmebaki kuwa wacheza Ngoma za ccm tu kwa sasa, hakuna operation haki, maandamano Wala wabunge wa covid 19, kila sehemu mnaangukia pua.
Mchukueni sasa huyo Dialo wenu
Siku hizi mashujaa wa CHADEMA wako CCM.Ujumbe wa shujaa fake
Yaan huko hamtaki wasema kweli kbs aisee 😂😂😂😂huyu afutiwe uanachama kabisa