Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

Maskini
 
Hao NDIO CCM
 
potelea mbali
 
My Take: Wasanii wawe waache kushobokea siasa za CCM.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuaje hata akavunjika mgongo?
 
Ujumbe: Wasanii waache Shobo kwa CCM.
 
Vijana mnaoburuzwa na CCM lini akili itawarudia? Oneni kebehi hii "amekula huyu"?
Kiherehere eti kumpokea Bashite aka Makonda na mnaahidiwa elfu ishirini ishirini na t-shirt mcheze na mnacheza.
Nuksi ndio hizo unavunja uti wa mgongo kisha waliokuita wanakukejeli UMEKULA WEWE?
Jitambueni sasa, huko mtatumika lakini hakuna ufumbuzi wa shida zenu, mwelekeo wa maisha yenu ya baadae na hatimae ujana utawaacha mtabaki kuja kuwa wazee wa hovyo mitaani huku hao mnaowatumikia leo wakiwa rithisha kazi zao na biashara watoto wao wanao waandaa leo hii.
Hii ajali iwe kama taa nyekundu kuwaonya kuwa huko siko.
Tumuombee kijana alone haraka maana hapo CCM hata matibabu asahau.
Your browser is not able to display this video.
 
Mamaeee

Mzuka ulipanda kwa furaha baada ya kumuona Makonda

Aliruka vibaya sana

Sidhani kama mgongo ulipona

Aahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…