Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Na kwenye hizo mada ukiingiaga tu utasikia wadau wote wanasema "mwamba huyu hapa sasa" 🀣🀣🀣
 
I appreciate Demi πŸ™

Dada mwenye confidence na kusimamia misimamo yake jukwaani
 
cocastic kipenzi weerraaayyyyuuyyuuuu??? Nakumiss sana mimiii you are the reason I live here in jf sweetheart popote ulipo pokea salamu Zangu dear!![emoji8]!
Igggweeeeeeeeeeeeeh shougaaaaa akeeee.
Nakupendaaaaa piaaaa, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Rabhekhaaaaaaaa ma fwendieeeeeeh!!!
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Dear mie ni furahaa mda woteeee, meno njee utadhani natangaza White dent, uwiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…