House4Sale Apartment inauzwa kwa bei ya promosheni

Sure ghorofa ya kumi NI mbali sana. Mimi personally Siwezi kukaa ghorofa ya kumi hata Kwa kulipwa.

I am " Aerophobic".
 
He’s one of the very few that I’ve managed to ignore without consigning him to the ignore list 😄
More power to you.I do not even attempt to start the process for that effort.

Part of the reason is I might easily get caught up in the back and forth mano a mano combat.

So once I know someone is a flat earth bullshitter, I just relegate to the ignore list.

Why even bother with courtesy to a clear flat earth bullshiter?

I see that as lowering the commonly accepted threshold for sensible discussion at my level.

Discussion will only legitimaze him.And his lavatory products.

Some trolls would just troll for getting the visibility of debating you, to their flat earth vile excrement.
 
Ghorofa ya kumi mbali Sana. Huwezi kukaa na watoto huko. Price ilitakiwa iwe Chini kidogo

Yes, hususan watoto wadogo wa umri kuanzia mwaka mmoja hadi miaka 9.

Vitoto vidogo huwa ni vitundu sana. Kitoto cha miaka miwili kinaweza kikatoka nje kwenye balcony na kuleta majanga.

Maghorofani si kwa kuishi na watoto wadogo.

Binafsi, ninaogopa heights. Wataalamu wanaiita ni acrophobia.
 
Inahitaji ujasiri WA kipekee kuishi ghorofa ya kumi. I am acrophobic too. Ghorofa ya nne tu Siwezi kuishi seuze ghorofa ya kumi. Tena ghorofa zenyewe za kujengwa na mchina!

Tafadhali sana
 


Rafiki ulisomea u-oudita...!!??? Au uchambuzi yakinifu?

Wawezya bhabhaa.
 
Sure ghorofa ya kumi NI mbali sana. Mimi personally Siwezi kukaa ghorofa ya kumi hata Kwa kulipwa.

I am " Aerophobic".
Nakuelewa sana mkuu, nakuelewa sana.

Ingawa mimi nishawahi kufanya kazi ghrofa ya 17 Wall St. na nilikuwa nikipanda juu hata sikumbuki kwamba niko ghrofa ya 17.

Kimbembe siku moja tulikuwa na fire drill ya ghafla, tunatakiwa kutumia ngazi wote.

Nikasema poa, nikashuka chini kwa kukimbia.Ilikuwa muda karibu wa kuondoka kwenda nyumbani kutoka kazini.

Tatizo niliacha begi langu juu, ikabidi nilirudie kabla ya kurudi nyumbani.

Ghorofa 10 za mwanzo zilikuwa hazina shida. Kutoka hapo kufika ghorofa ya 17 ilikuwa inabidi kuzisikilizia.
 

Haki, umenifanya ni gugo houses in Posta Dar es Salaam in 1903....
 

Kuhusu fire drills...we have them at least twice a year at my job.

Sasa siku moja tulikuwa nayo. Nilipokuwa nje ya jengo kwenye evacuation assembly area nikawa nachat na mtu bongo.

Nikamwambia tumetoka nje. Tuna fire drill.

Akaniuliza ndo nini hiyo? Mind you, huyo mtu anafanya kazi kwenye ‘corporate Tanzania’ [for lack of a better term].

Nikamwuliza kama na wao huwa wana kitu kama hicho. Akasema ndo anakisikia kwa mara ya kwanza!

Nikaishia kusikitika tu. Imagine moto utokee kwenye moja ya hayo majengo marefu ya Dar nyakati za kazi..halafu watu hawajawahi hata kuwa na fire drills...
 
NI hatari Sana. Honestly kununua apartment ya ghorofa ya kumi kibongo bongo Kwa mil 460, tunadanganyana

 


Do you allow me to challenge you???

Before saying yes,

Unakumbuka in UK kuna ghorofa liliungua usiku sikumbuki lini Ila miaka kadhaa imepita na ilikuwa inaoneshwa live...

Fire rescue zilikiwa hafifu 80% ya wakazi walikufa. Nilijiuliza, huko UK ambako teknolojia iko juu na usasa hawakufanikiwa kuokoa maisha ya watu na moto ulikuwa mkubwa rescue team walihangaika siku mbili kuokoa, ilikuwa mbaya sababu watu wengine walikuwa wanaruka madirishani mind you ni mbali akifika chini ni maiti....

Ije kiwa TZ ghorofa ya 18 hadi chini sio tuu hakuna hizo kujiandaa na tahadhari iwapo moto utatokea bali, miundombinu ya magorofa ni mibovu siku nyingine maji hakuna (vyoo vinakuwa hatarishi kwa afya) siku nyingine lifti hazifanyi kazi au zinafault ya kusimama kila ghorofa, siku nyingine mfumo wa AC unazima haufanyi kazi, na hakuna namna ya kufungua madirisha joto balaa, siku nyingine umeme unaleta mashokolo mageni milango inajiloki....

Na watu bado wanaamka kuja kazini kila siku na wengine wanakaa hadi late hours kumalizia kazi.

Whatever you answer, right back at you American budget times.
 
kama unatumia Android,uninstall hiyo app na upakue apk ya JF kwenye google search na uruhusu simu kuinstall app from unknown sources,mimi nilifanya hivyo now napata notification
 

NI risk Sana.

Kununua apartment ghorofa ya kumi in a third world country like Tanzania Kwa Tshs Mil.460 ni uwendazimu WA kiwango cha lami.
 
kama unatumia Android,uninstall hiyo app na upakue apk ya JF kwenye google search na uruhusu simu kuinstall app from unknown sources,mimi nilifanya hivyo now napata notification
Asante sana.

Nime

1.Uninstall JF app.
2. Searched and downloaded JF app from apkpure.com version ni v8.0.48
3.Nimeenable installing apks
4.Nime install hiyo apk
5.Bado tatizo la kuona notifications za mwisho 22 September 2019 liko pale pale
6. Bado picha hazionekani.

Wewe app yako version gani? It should be in settings.

Labda kuna apk mpya zaidi ya hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…