Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

Naenda sambamba na mada bwasheeπŸ˜…
 
Mkuu umenichekesha sana leo. Shemeji yangu mmoja kila mwaka anahama manabii na mitume. Alianzia kwa Mzee wa Upako, kisha akaenda kwa Mtalemwa na hatimaye akaibukia kwa Mwamposa. Humuambii kitu kuhusu Mwamposa. Ukitaka akupe pesa kwa urahisi, mwamvie umekosa nauli na sadaka ya Mwamposa. Hata milioni anakupa chap!
 
Wanajuhudi katika kumuabudu mungu, lakini si katika maarifa, iliandikwa mahala fulani kwenye biblia.
 
Roho mtakatifu kajipatia utelezi bila hata ruhusa ya mhusika, huu si ubakaji mbele ya madhabau jamani??!!
Anyway mtume baba mwamposa endelea kula vichwa hivyo mpaka akili ziwakae sawa.

Your browser is not able to display this video.
 
Mzee wanawake ni shida sana aise
 
πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…