Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

Hii nchi ina vituko sana.
 
Hawa ni victims wa utapeli na usidhani wanakusudia. Ameshachota akili zao na ndiyo maana ''muujiza'' ambao wewe unaona ni kituko kama huo wa kupata mimba, wao wanaona ni jambo la kweli.
 
Upumbavu mtupu.
 
Mpige marafu hawachelewi kutoa mali za familia kuwapa hawa manabii uchwara
Kweli kabisa. Huwa wanatoa sadaka za kujimaliza....anatoa kila kitu alicho nacho kisha Mungu atamrudishia mara 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…