Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

shem lake ukowapi lakini naumia mbavu πŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
 
 
Kwangu nikikuta wameweka hiyo channel nachukua ripoti naweka futuhiii ndio futuhiii, wanaharibu imani za watu kwa huu ujinga
 
Hii nchi ina ujinga sn , Yani tangia asubuh Hadi jion NI mpira, mpira, mpira na mahubiri ya ajabu kuwapa watu ujinga na kuwapiga pesa zai, watawala wanalijua Hili so wanaenjoy jinsi tunapofocus kwenye ujinga badala ya mambo yenye tija......unatengenezewa umasikini ili uamini kwenye miujiza na kiburudisho chako NI Simba na Yanga
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ ukiwa Nabii Inatakiwa uwe na PhD ya unafki na PhD ya kutokuwa na haya

Hii level ya uongo hata TRUMP anachukua course hapo
Mkuu tuwaache wafu wawazike wafu waoπŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚
 
Sasa mwamposa anamuwekea mkono ili aanguke, vp akiumiza mtoto wa miujiza humo ndani? πŸ˜‚
 
.....ongeza na KUBET mkuu. CCM akiona hivi anafurahi sana aisee!πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…