Mkuu naomba kujua km nishafika page ya 11 kati ya 20 na nataka kutoka kwenye thread natakiwa nifanye nn,maana kabla ya maboresho ulikua ukirudisha back kwenye simu inakutoa kwenye hyo thread ila ss hv ukirudisha back inakurudish kwenye page ya kabla kitu ambacho kinakera ina maana ukitaka kutoka ni lazima urud back mara 11 ili urud ulipokuwa.Naomba kufahamishwa inawezekana mm ndio sijui
 
Naomba upande wa fonts iwe kama app ya zamani, itumie system fonts. Fonts style inayotumika kwenye simu iwe ndio hiyo hiyo itumike kwenye app. Au lah sivyo wekeni option ya mtu kuchagua kati ya system fonts au fonts za kwenye app. Maxence Melo
 
Kwenye ku back imekuwa ni changamoto, nilikuwa post namba 21 nikasoma post kwa kurudi nyuma mpaka post namba 18 nafungua attachment. Baada ya kucheck attachment niki back inanipeleka post namba 21 baada ya kurudi katika comment ambayo ina attachment Maxence Melo
 
Ok okay Bro a. K. a Le great Melo[emoji106]
 
Naomba upande wa fonts iwe kama app ya zamani, itumie system fonts. Fonts style inayotumika kwenye simu iwe ndio hiyo hiyo itumike kwenye app. Au lah sivyo wekeni option ya mtu kuchagua kati ya system fonts au fonts za kwenye app. Maxence Melo
sure
 
Viongozi mnasubiri nini kuiweka app mpya ya Jamii Forum huko playstore?

Jana nimeifuta app ya zamani, nika-restart kasimu kangu, nikadowload upya app yenu lakini imekuja ile ile ya zamani ambayo hainipi notifications na habari mpya mpya.

Nimejaribu kuwa naingia kwa njia ya browser kwa kutumis simu ili nipate notifications na nyuzi mpya mpya lakini naona ni usumbufu tu.

Hatutegemei taasis kubwa kama Jamii Forum watu wake wawe waanze ubabaishaji!

Kama mmebadilisha app, basi iondoeni ya zamani huko playstore, na muweke mpya tudownload.

Na ukitumia hii app ya zamani unakuta habari zipo nyuma tofauti na kwenye brower, ingawa jukwaa moja ni moja, yaani kama vile mechi ya mpira ikitangazwa kwenye redio na kwenye TV, kwenye redio goli linatangulia kutangazwa.

Juzi nikaelekezwa kudownload app mpya kwa njia zao lakini sikufanikiwa, ndiyo maana nasema, Jamii Forum ni taasis kubwa, wekeni app mpya playstore

Ina maana Taasis za Tanzania nyingi hazimjali mteja?
 
Sisi wengine hatupendi kutumia browser mtusaidie hili jambo Maxence Melo
 
Hili suala tulileta malalamiko, na Mello alisema atarekebisha ila bado tyuuh hatuoni utekelezaji. labda huenda wako ktk maboresho na itakua sawa, tunasubiri
 
Boss MELLO anajisahau Sana akija pata mpinzani wa ukwel nadhan hapo ataamka katika usingiz wa pono Kama sio porno

Unaridhika na pongez za mwigulu nchemba unasahau kwako
 
Daah aisee nilijua mimi tu kumbe ni janga la wengi
 
Natumia Android mbona baada ya kubonyeza mistari mitatu, orodha inayokuja hakuna 'Install App' mkuu?
 
max aliishasema kwa sasa nguvu inaelekezwa kwenye browsee zaidi,kisha akamalizia kwa kusema baadae tutajua ni kwanini amefanya hivyo.

nadhani ndio maana notiffication haziingii tena.
 
Binafsi app naona ndo ilikuwa bora na rahisi pia hii yasasa miyeyusho tu sema shoda kweny app haziji notifications
 
Font ni kubwa sana aisee, wengine macho yetu bado mazima, muweke option ya kuchagua font size.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…