Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Kwangu, Imekaa Vyema, Rahisi Kwa Matumizi ya Binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kwako tuMbona kwangu sion sehem ya kuinstall app. Natumia Phoenix browser
Ok okay Bro a. K. a Le great Melo[emoji106]Naam wakuu,
Kwa mara nyingine tumeona tuboreshe huduma ya JF ili izidi kuwa rahisi kutumia.
Kwa sasa unaweza ku-Install JF App kwa PC au Tablet (iPad zikiwemo) na Simu za Mkononi (Android na iPhones).
FAIDA:
1) Ni rahisi kutumia na haina tofauti yoyote na main site, hakutakuwa na malalamiko tena kuwa kuna kukosa notifications au kushindwa kufanya actions kadhaa
2) Ni rahisi kufunguka kuliko unavyodhania. Installation yake inachukua sekunde moja au pungufu. Haichukui space kwenye simu yako au kifaa chako
3) Ukiwa offline, bado kuna content utakuwa na access nayo kwa urahisi zaidi. Hulazimiki kuwa mtandaoni
4) na mengine mengi
Hatua za kufuata:
Kwa wanaotumia PC:
Tembelea JF kwa kutumia Google Chrome Browser, kisha utaona sehemu kama hii kwenye browser yako:
View attachment 1791283
View attachment 1791292
Kisha bonyeza Install kama inavyoonekana hapa chini:
View attachment 1791284
Utaona tayari unayo App kwenye PC yako. Kuanzia hapo hutokuwa ukilazimika kutembelea tovuti kwa njia ya browsing ya kawaida.
Mfano, mwenye Macbkook ataona icon ya App ya JF ikiwa hivi:
View attachment 1791290
Kwa wanaotumia Android Devices:
Tumia Google Chrome (au native browser ya simu yako):
Bonyeza mistari mitatu iliyo kushoto mwa LOGO ya JamiiForums, utaona kitu kama hiki chini:
View attachment 1791285
View attachment 1791286
Bonyeza INSTALL kisha utaona hivi (itachukua sekunde 1 ku-Install)
View attachment 1791287
Kwa wanaotumia iPhone au iOS devices:
Tumia Safari Browser, bonyeza sehemu hizi zilizozungushiwa na fuata maelekezo kwenye simu... Just add to your device's home screen.
View attachment 1791288
View attachment 1791289
Ukikwama usisite kuuliza, tupo kwa ajili yako.
TAKE NOTE: Siku zijazo (sio karibuni) tutaondoa App zilizopo kwenye Google na Apple stores. Kuna mabadiliko zaidi yanakuja kwenye mwonekano na user experience katika kutumia huduma ya JF.
PS: Kuna watu wanataka kujua kuhusu kupata notifications. Tafadhali enable push notifications kwenye settings na utazipata bila shaka.
Karibuni
sureNaomba upande wa fonts iwe kama app ya zamani, itumie system fonts. Fonts style inayotumika kwenye simu iwe ndio hiyo hiyo itumike kwenye app. Au lah sivyo wekeni option ya mtu kuchagua kati ya system fonts au fonts za kwenye app. Maxence Melo
Sisi wengine hatupendi kutumia browser mtusaidie hili jambo Maxence MeloViongozi mnasubiri nini kuiweka app mpya ya Jamii Forum huko playstore?
Jana nimeifuta app ya zamani, nika-restart kasimu kangu, nikadowload upya app yenu lakini imekuja ile ile ya zamani ambayo hainipi notifications na habari mpya mpya.
Nimejaribu kuwa naingia kwa njia ya browser kwa kutumis simu ili nipate notifications na nyuzi mpya mpya lakini naona ni usumbufu tu.
Hatutegemei taasis kubwa kama Jamii Forum watu wake wawe waanze ubabaishaji!
Kama mmebadilisha app, basi iondoeni ya zamani huko playstore, na muweke mpya tudownload.
Na ukitumia hii app ya zamani unakuta habari zipo nyuma tofauti na kwenye brower, ingawa jukwaa moja ni moja, yaani kama vile mechi ya mpira ikitangazwa kwenye redio na kwenye TV, kwenye redio goli linatangulia kutangazwa.
Juzi nikaelekezwa kudownload app mpya kwa njia zao lakini sikufanikiwa, ndiyo maana nasema, Jamii Forum ni taasis kubwa, wekeni app mpya playstore
Ina maana Taasis za Tanzania nyingi hazimjali mteja?
max aliishasema kwa sasa nguvu inaelekezwa kwenye browsee zaidi,kisha akamalizia kwa kusema baadae tutajua ni kwanini amefanya hivyo.Viongozi mnasubiri nini kuiweka app mpya ya Jamii Forum huko playstore?
Jana nimeifuta app ya zamani, nika-restart kasimu kangu, nikadowload upya app yenu lakini imekuja ile ile ya zamani ambayo hainipi notifications na habari mpya mpya.
Nimejaribu kuwa naingia kwa njia ya browser kwa kutumis simu ili nipate notifications na nyuzi mpya mpya lakini naona ni usumbufu tu.
Hatutegemei taasis kubwa kama Jamii Forum watu wake wawe waanze ubabaishaji!
Kama mmebadilisha app, basi iondoeni ya zamani huko playstore, na muweke mpya tudownload.
Na ukitumia hii app ya zamani unakuta habari zipo nyuma tofauti na kwenye brower, ingawa jukwaa moja ni moja, yaani kama vile mechi ya mpira ikitangazwa kwenye redio na kwenye TV, kwenye redio goli linatangulia kutangazwa.
Juzi nikaelekezwa kudownload app mpya kwa njia zao lakini sikufanikiwa, ndiyo maana nasema, Jamii Forum ni taasis kubwa, wekeni app mpya playstore
Ina maana Taasis za Tanzania nyingi hazimjali mteja?
Sisi wengine hatupendi kutumia browser mtusaidie hili jambo Maxence Melo
tumia browser