Mkuu, hizo notification 6,000+ imekaaje hiyo? 😂😂Mkuu Max ,nashukuru sana kwa features mpya!
Kwangu imefanya kazi
Japo nimeshazoea ile app ya play store ila najua una nia njema kuhamia huku!
Chini kabisa kwenye browser kuna Add inaelekeza kwenye group la Telegram.
Naomba kujua kama hyo add Siyo SCAM
Nimeweka attachment hapo chini
View attachment 1791304
Samahani nisaidie kwenye Android na click wapi maana naona kivuli kimegunikaKaribu kiongozi
Maxence Melo, sijui kama ni mimi tu au ni hii extension, sioni subscribed, participated threads etc.Hapana, you can have them both. Ila, soon utaelewa why this change is inevitable 😎
Hata mm mkuu. Ndio maana sijaisifia kabisa. Huon subscribed,participated.Maxence Melo, sijui kama ni mimi tu au ni hii extension, sioni subscribed, participated threads etc.
Natangaza kushindwa mkuuKaribu kiongozi
Ndio changamoto tunaozipata watu wa app.Mwonekano ni wa app , umekaa kama browser ,
Jamani kwenye hii app mpya mtuwekee utaratibu ule ule wa app ya zamani wa kufungua thread na kushuka nayo moja kwa moja mpaka chini. Haya maswala ya kufungua page 1, 2, 3 page 20 yanakera sana!
Kiukweli hata me upande wangu sijaielewa kabisa, haiko user friendly kama ilivyo kwenye Jf app.Hata mm mkuu. Ndio maana sijaisifia kabisa. Huon subscribed,participated.
Ktk app huangaiki kutafuta hivyo.
Ndio maana nimeshindwa kufuta app ya jf ya zaman.
Kabisa mkuuKiukweli hata me upande wangu sijaielewa kabisa, haiko user friendly kama ilivyo kwenye Jf app.
Nafahamu kuwa hii sio app, ndio maana nimeiita extension in the first place in my original post.Hio sio APP..hio ni browser tu. Tofauti haufungui browswer kuifata, unaiweka kama screen kwenye simu tu. Hamna jipya. Bora ingeachwa app ya zamani. Taasisi kubwa kama JF mnashindwa kua na APP au kutengeneza APP yenye standard za kimataifa. Mnashindwa hata na app zingine za kibongo
Naunga mkono hoja.Hio sio APP..hio ni browser tu. Tofauti haufungui browswer kuifata, unaiweka kama screen kwenye simu tu. Hamna jipya. Bora ingeachwa app ya zamani. Taasisi kubwa kama JF mnashindwa kua na APP au kutengeneza APP yenye standard za kimataifa. Mnashindwa hata na app zingine za kibongo
Mkuu mbona nyuz nilizo subscribe sizioni??Umejaribu? It works?
Shukrani sana kwa feedback mkuu wangu
Shukrani sana kwa feedback mkuu wangu
Shukrani sana kwa feedback mkuu wangu
Kwa hiyo sasa hivi Demi anademka na app mpya siyo?JF app ya playstore inamuonekano mzuri kwa upande wangu. Pia rahisi kutumia.
Tatizo lake ni notifications kuchelewa au zisije kabisa, halafu ina like tu haina emotions nyingine