Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

Ni kweli, hizi simu pamoja na Samsung wanazipaki kwenye maboksi na kuziwekea sticker na seal unaambiwa ni mpya kumbe ni used Grade one. Ni ngumu kuweza kubaini kwamba sio mpya ila uzuri kwa simu za Apple ukiingiza ile warranty itakwambia imeaha expire.
 
iPhone 16 na 16 Plus zishatangazwa!

Kila kitu kama mwaka jana kwenye 15 na 15 Plus kwa muonekano, kasoro tu nyuma camera zimekaa vertically sio kupishana kama kwenye 13 14 na 15!

Pia, Action button (hii ilimreplace mute switch) ambayo ilikua kwenye Pro peke yake sahivi ipo pia kwenye 16 plain na Plus.

Pia kuna button mpya kwaajili ya kuactivate camera.

Simu iko na new chip A18 ambayo Tim anatuambia ni 30% fast kuliko ya mwaka jana, na power efficiency aimeongezeka kwa 35%.

Pia bigger battery, ila hawasemi mAh!

Camera kuna improvement (on paper)

Macro ✔️
48 MP + 12 MP 2x Telephoto ✔️
55mm 1.6 aperture ✔️
 
Airpods 4 zimetangazwa

Zinakuja za aina mbili, standard Airpods 4 na Airpods 4 Active Noise Cancellation!

Mbali na mbwembwe zingine, case yake pia ina spika sahivi na unaweza kuchaji kwa type C au wirelessly.

Bei yake kama kawaida..
 
Kumbe watu wanaenda kununua jina na namba iliyo pewa hiyo simu na si vinginevyo. Wakisikia 16 plus watu wanachanganyikiwa kabisa 😁😁😁
Akina BICHWA KOMWE - ni kubomolewa maji taka tu ilimradi wamiliki 16 plus
 
nido niko naistream now naona wanazungumzia macamera tu muda wote
 
Hifone 14 yangu sasa itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…