mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Asiyeshukuru kwa kidogo ,hata apatapo kingi hakitomtosheleza.
Kwa moyo wa dhati napenda niwashukuru wanajeshi wetu (JWTZ) hususani wale mliofanikisha ulinzi wa waandamanaji.
Japo maumivu ya familia zetu ni makubwa na makali sana kutokana na kupoteza ndugu zetu, lakini binafsi naamini nyinyi mliotulinda kuanzia Oct 29 mlifanya kulingana na uwezo wenu wote ambao Mwenyezi Mungu aliwaajalia kwa wakati huo.
Ninaamini kabisa, kama mngekuwa na access ya kufanya zaidi ya pale, msingesita kufanya hivyo kwa ajili ya waTanganyika!!.
Asanteni sana na Mungu awalipie wema wenu vile apendavyo🌻