mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
At least waliokua barabarani wamejaribu!!ingawa moyo unaumia sana Kila nimitizama picha za madogo waliouwawa😭😭, maaamaeJWTZ ni simba ambae hana meno wala kucha ni 🧸 toy.
Ok walikuwepo kweli tuliwaona. Ila Jambo la msingi lakujiuliza walifanya jambo gani la muhimu kulinda raia waandamanaji au walikuwepo tu kama 🧸At least waliokua barabarani wamejaribu!!ingawa moyo unaumia sana Kila nimitizama picha za madogo waliouwawa😭😭, maaamae
Kuna muda maumivu yanazidi mpaka mtu unabaki kushukuru Mungu kwa Kila jambo tu aiseeHakuna sababu ya msingi kwa nini hawajaendelea kuwalinda raia.
Na wameonyesha udhaifu mkubwa kwa nchi kuingiliwa na mamluki wa Samia.
JWTZ hovyo tu.
Kwa picha na video zilizopo, hawahitaji pongezi.
Mungu naye miyeyusho tu. Yuko wapi kuwalinda wenzetu?Kuna muda maumivu yanazidi mpaka mtu unabaki kushukuru Mungu kwa Kila jambo tu aisee
Unasema hivyo kwakuwa umezoea kuwaona Dar es Salaam. Hata samaki huwezi kujua ubora wake kwenye nchi kavu.JWTZ ni simba ambae hana meno wala kucha ni 🧸 toy.
Walau wengine wametulinda mkuu , Kuna muda kilichafuka vibaya maeneo ya kimara mpaka wale waganda wakatema bungoJWTZ hovyo tu.
Ninaomba picha na video izo nizioeMungu naye miyeyusho tu. Yuko wapi kuwalinda wenzetu?