Hata kiuno akate tu ila ndoo anaiwaza sanaKaka hawa vijana wasikusumbue, unafkiri hawajui kuwa Messi ni zaidi ya mchezaji yoyote kuwai kutokea!!!!!! Wanajuwa sana ila "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Uchezaji wa cr7 na wa Messi tofauti mkubwa sana, Messi anaanzia nyuma kwa maana ingine yeye ndie mkokotaji, mchezeshaji, play maker, assists, master of freekicks, passes za mwisho n.k. cr7 yeye anasimama golini akisubiri wenzie wampe afunge, hana tofauti na akinaSuarez, mbappe, Lewandowsky n.k. sasa apo nani anafaa kupewa sifa
Huyu jamaa alikuwa anashangiliwa hadi wapinzani wake. Opponents walishangilia vyenga vyake
Hata kiuno akate tu ila ndoo anaiwaza sana
Iyo ngapi ya nini? vyote anavyo... Messi ana world cup AU copa america?Kwa vyenga/mkokotaji, freekicks, playmaker, assists, pasi za mwisho, magoli yaloenda shule n.k Messi ndio baba lao. Yote haya yamemletea mafanikio katika timu yake.
Uyo gaucho ana ballon ngapi?
Uefa ngapi?
La liga ngapi?
Super de espana ngapi?
Copa del rey ngapi?
Teh teh teh Mahaba niue haya mpaka unakana asili yako na hii yote kwa sababu ya NessWaafrika bana, kwaiyo kutokuwepo mweusi kwenye tim ndio ubaguzi? Kuna mchezaji mweusi anaitwa Maidana ashawahi kucheza tim ya taifa mara nyingi ty lakini hana kiwango kivile kama akina otamendi, rojo n.k.
Teh teh teh Mahaba niue haya mpaka unakana asili yako na hii yote kwa sababu ya Ness
Acha porojo ameipa nini Argentina?...Mtakufa na wivu nyie, "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe "
Acha porojo ameipa nini Argentina?...
Iyo ngapi ya nini? vyote anavyo... Messi ana world cup AU copa america?
Mimi nasema , yeye gaucho katoa ya kwake ,mimi nasema gaucho alikuwa bora kwa wachezaji niliyo waona
Hayo ni maoni yao. Kwa kizazi ambaocho kwa umri wangu nimeshuhudia vizuri, sijamwona mchezaji zaidi ya Zizou hakika
We unamjua mchezaji gani mu Argentina ambaye ni black na anachezea timu gani ligi gani,vp timu yenu ya taifa ina wazungu wangapi,vp timu ya China ,Japan Kuna black wangapi
Kama hujui hata maana ya ngapi, kaazi kwelikweli
Sawa nimekuelewa na trophy zake za cricket mwambie akazane... mwenzie ana EURO dinho ana WCAt youth level, he won the 2005 FIFA World Youth Championship, finishing the tournament with both the Golden Ball and Golden Shoe, and an Olympic gold medal at the 2008 Summer Olympics.
Ameipeleka fainali tim yake mara 4.
We dada mchokozi sana hivi huwajui walivyo wakali au umeamua tu wakushukie kwa hasira
Hahaaaaa kuna watu wanapenda kutoa lawama bila kuwa na uelewa .hajui Kama Kuna nchi ambazo black Ni wachache kutokana na asili ya nchi husika .Kuna nyingine hazikushiriki kabisa katika biashara ya utumwa au ilishiriki kwa kiasi kidogo kwahiyo kukuta black ni ngumu.sasa nimumuuoliza Ana mchezaji gani black mwenye asili ya Argentina ambaye alitamani aitwe lakini ameachwa ?? Naona katoka ndukiWasikudisturb hawa, tim ya taifa haina mzungu, mwarabu wala mchina. Sijui analizungumziaje hilo [emoji16][emoji16]
Sawa nimekuelewa na trophy zake za cricket mwambie akazane... mwenzie ana EURO dinho ana WC
Hahaaaaa kuna watu wanapenda kutoa lawama bila kuwa na uelewa .hajui Kama Kuna nchi ambazo black Ni wachache kutokana na asili ya nchi husika .Kuna nyingine hazikushiriki kabisa katika biashara ya utumwa au ilishiriki kwa kiasi kidogo kwahiyo kukuta black ni ngumu.sasa nimumuuoliza Ana mchezaji gani black mwenye asili ya Argentina ambaye alitamani aitwe lakini ameachwa ?? Naona katoka nduki
Unaifahamu historia ya watu weusi argentina na nini kilipelekea mpaka watu weusi argentina kuwa 1% tu?Hahaaaaa kuna watu wanapenda kutoa lawama bila kuwa na uelewa .hajui Kama Kuna nchi ambazo black Ni wachache kutokana na asili ya nchi husika .Kuna nyingine hazikushiriki kabisa katika biashara ya utumwa au ilishiriki kwa kiasi kidogo kwahiyo kukuta black ni ngumu.sasa nimumuuoliza Ana mchezaji gani black mwenye asili ya Argentina ambaye alitamani aitwe lakini ameachwa ?? Naona katoka nduki