Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Argentina yashikilia mkia kwenye kundi lao huko Copa America

Kaka hawa vijana wasikusumbue, unafkiri hawajui kuwa Messi ni zaidi ya mchezaji yoyote kuwai kutokea!!!!!! Wanajuwa sana ila "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Uchezaji wa cr7 na wa Messi tofauti mkubwa sana, Messi anaanzia nyuma kwa maana ingine yeye ndie mkokotaji, mchezeshaji, play maker, assists, master of freekicks, passes za mwisho n.k. cr7 yeye anasimama golini akisubiri wenzie wampe afunge, hana tofauti na akinaSuarez, mbappe, Lewandowsky n.k. sasa apo nani anafaa kupewa sifa
Hata kiuno akate tu ila ndoo anaiwaza sana
 
Huyu jamaa alikuwa anashangiliwa hadi wapinzani wake. Opponents walishangilia vyenga vyake

Kwa vyenga/mkokotaji, freekicks, playmaker, assists, pasi za mwisho, magoli yaloenda shule n.k Messi ndio baba lao. Yote haya yamemletea mafanikio katika timu yake.

Uyo gaucho ana ballon ngapi?
Uefa ngapi?
La liga ngapi?
Super de espana ngapi?
Copa del rey ngapi?
 
Iyo ngapi ya nini? vyote anavyo... Messi ana world cup AU copa america?
 
Waafrika bana, kwaiyo kutokuwepo mweusi kwenye tim ndio ubaguzi? Kuna mchezaji mweusi anaitwa Maidana ashawahi kucheza tim ya taifa mara nyingi ty lakini hana kiwango kivile kama akina otamendi, rojo n.k.
Teh teh teh Mahaba niue haya mpaka unakana asili yako na hii yote kwa sababu ya Ness
 
Hayo ni maoni yao. Kwa kizazi ambaocho kwa umri wangu nimeshuhudia vizuri, sijamwona mchezaji zaidi ya Zizou hakika

Mimi pia nimewashuhudia pamoja na wa youtube wakina Pele na Maradona. Bado sijaona kama messi katika sayari hii.
 
We unamjua mchezaji gani mu Argentina ambaye ni black na anachezea timu gani ligi gani,vp timu yenu ya taifa ina wazungu wangapi,vp timu ya China ,Japan Kuna black wangapi

Na israel 😁😁
 
We dada mchokozi sana hivi huwajui walivyo wakali au umeamua tu wakushukie kwa hasira

[emoji23][emoji23][emoji23] na wamenishukia kweliweli, hoja za kipuuzi hadi nimekaa kimya tu.
 
Wasikudisturb hawa, tim ya taifa haina mzungu, mwarabu wala mchina. Sijui analizungumziaje hilo [emoji16][emoji16]
Hahaaaaa kuna watu wanapenda kutoa lawama bila kuwa na uelewa .hajui Kama Kuna nchi ambazo black Ni wachache kutokana na asili ya nchi husika .Kuna nyingine hazikushiriki kabisa katika biashara ya utumwa au ilishiriki kwa kiasi kidogo kwahiyo kukuta black ni ngumu.sasa nimumuuoliza Ana mchezaji gani black mwenye asili ya Argentina ambaye alitamani aitwe lakini ameachwa ?? Naona katoka nduki
 
Sawa nimekuelewa na trophy zake za cricket mwambie akazane... mwenzie ana EURO dinho ana WC

Unaujuwa mpira kweli mkuu? Eti dinho ana w/c cr7 ana euro 😂😂😂 ile ni team work baba usiwe mshamba. Na isitoshe kwenye final alitoka dakika za mwanzo kama sikosei dakika ya 16.
 
Hahaaaaa kuna watu wanapenda kutoa lawama bila kuwa na uelewa .hajui Kama Kuna nchi ambazo black Ni wachache kutokana na asili ya nchi husika .Kuna nyingine hazikushiriki kabisa katika biashara ya utumwa au ilishiriki kwa kiasi kidogo kwahiyo kukuta black ni ngumu.sasa nimumuuoliza Ana mchezaji gani black mwenye asili ya Argentina ambaye alitamani aitwe lakini ameachwa ?? Naona katoka nduki

Akijibu nitag 😁
 
Unaifahamu historia ya watu weusi argentina na nini kilipelekea mpaka watu weusi argentina kuwa 1% tu?
 
Back
Top Bottom