3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hata kiuno akate tu ila ndoo anaiwaza sanaKaka hawa vijana wasikusumbue, unafkiri hawajui kuwa Messi ni zaidi ya mchezaji yoyote kuwai kutokea!!!!!! Wanajuwa sana ila "mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Uchezaji wa cr7 na wa Messi tofauti mkubwa sana, Messi anaanzia nyuma kwa maana ingine yeye ndie mkokotaji, mchezeshaji, play maker, assists, master of freekicks, passes za mwisho n.k. cr7 yeye anasimama golini akisubiri wenzie wampe afunge, hana tofauti na akinaSuarez, mbappe, Lewandowsky n.k. sasa apo nani anafaa kupewa sifa