Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Jamaa ni booonge la fala😂
Alipewa Mpira apige golini,,sijui ndio yale mavigimbi maskini yalimpa jeuri

Hivi kuna kipande Cha mpira kimedondoka juu ya paa letu hapa Nanjilinji.
Nimeamshwa na Kishindo Cha bati.


Jamaa ni booonge la fundi kwa kupaisha🔥
 
Baby wako Trent mmeachana?
Nilidaclare interest wakati wa mzunguko wa kwanza kabisa kuwa timu yangu ni Ufaransa,,ukiachana na mechi ndogo ndogo ambazo nitachagua tu upande wa kuegemea,,wote hao wanatusindikiza mabingwa watetezi na wateule.

Hako katoto pale tu Anfield hakawezi kukaba,halafu eti mnategemea kawaletee kombe ,Tena mbele ya wazee wa kazi.

Beba limagwaya lenu peleka Old Trafford lialia FC.
Kasi kulia tu uwanjani yabebwe.
 
Mbele ya Ufaransa hakuna mbeleko ya mchongo itasurvive🔥🔥🔥🔥

Ni kupeleka moto mwanzo mwisho
 
Sa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?

Baada ya Argentina umejipanga kushanikia timu gani tena?

Usiseme France, huku tumejaa hatutaki mtu maana mkishaona timu nzuri hamkawii kuzitolea macho
Hii miajentina ishazoea kupita Chocho na penalt za mchongo

Chocho zao ndio ziliishia pale Kwa Waholanzi.


Huku tushajaa,Sijui watakuwa wageni wa nani.
 
Niliamshwa na Kishindo Cha Mpira wa Kane kwenye paa.
Mizee ya mpaishoooo
Mizee ya penalt mchongoma.


Ufaransa mabingwa watetezi na wateule tuendelee kulala.

Wenye safari ya kurudi Uingereza ndo wanapaswa waamke mapema wawahi viwanja.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wale haters wa Morocco mmesha hamia France au bado mnajishauri?

Niliwaambia kua Spain atakula kichapo mkabisha,akapiwa mkahamia Portugal,napo mkapaza sauti kua Morocco atatolewa na Portugal,haikutokea,Porugal nae kala kichapo kitakatifu.
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Aiseeeee we mama kumbe ni ngariba wa mikuyenge?????
Aliomba mwenyewe hapa jukwaani kuwa baada ya anguko la wazee wa kulialia,lion watatu;
Aliomba tumtahiri kabla hajaenda kupande ndege ya Uingereza.

Sisi ni waungwana, hatuna budi kumsaidia ndugu yetu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Utakufa kwa chuki kijana. Kombe la Messi hili bila wasiwasi wowote. Tena england ndio nilikuwa nawahofia maana kuna historia fulani.

Baada ya england kufurushwa basi ni raha mustarehe.
Hiyo historia 2018 ilikuwa wapi kipindi anafungwa 16 bora na ufaransa!?
 
Mpira sheri yake ni kwamba mshindi anatakiwa apatikane ndani ya dakika 90

Mnapoenda beyond maana yake mnalazimisha bingwa apatikane kwa njia zisizo za halali
Ufaransa tunaharibu,tunachoma na kuteketeza njia zote za chenga na Chocho[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unapotaja Ufaransa,usilinganishe na vitu vya ajabu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kama nawaona vile, England ingekuwa hiari yao,wangeamua kuchanja mbuga upande wa 2.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…