instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Vip...England anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip...England anashinda
Otherwise najikata mkuyenge[emoji95]
They are going homeNilipitiwa na usingizi kabla ya mechi haijaanza, walitokaje huko jamani...
It is coming home au we are going home?
Jamaa ni booonge la fala😂Hapana bado
Nimesikia taarifa hapa kutoka BBC ikitangaza kuwa kesho Qatar Airways haitakuwa na route yeyote kutokana na sintofahamu ya ule mpira wanahofia unaweza ukagonga ndege yakatokea ya PRECISON Air
Pia wameshauri watu wa eneo hilo watembee wakiwa na helment mbaka pale watapotangaziwa kuwa hakuna tishio tena
Nilidaclare interest wakati wa mzunguko wa kwanza kabisa kuwa timu yangu ni Ufaransa,,ukiachana na mechi ndogo ndogo ambazo nitachagua tu upande wa kuegemea,,wote hao wanatusindikiza mabingwa watetezi na wateule.Baby wako Trent mmeachana?
Hii miajentina ishazoea kupita Chocho na penalt za mchongoSa si bora ukaishabikia Croatia kuliko Argentina?
Baada ya Argentina umejipanga kushanikia timu gani tena?
Usiseme France, huku tumejaa hatutaki mtu maana mkishaona timu nzuri hamkawii kuzitolea macho
Tena wawahi, maguire akae siti za mbele kabisa ili awahi kufika.They are going home
Jana pira alopaisha limesakwa sana uwanjani na halikuonekana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliomba mwenyewe hapa jukwaani kuwa baada ya anguko la wazee wa kulialia,lion watatu;[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Aiseeeee we mama kumbe ni ngariba wa mikuyenge?????
Hiyo historia 2018 ilikuwa wapi kipindi anafungwa 16 bora na ufaransa!?Utakufa kwa chuki kijana. Kombe la Messi hili bila wasiwasi wowote. Tena england ndio nilikuwa nawahofia maana kuna historia fulani.
Baada ya england kufurushwa basi ni raha mustarehe.
Ubishoo wabaki nao BrasilUzuri wa Ufaransa hawanaga mambo ya dk 120, mtu unakandwa mapema tu ukapumzike tusichoshane [emoji23][emoji23]
Endelea kukaza fuvu kamanda[emoji23]Wa kwetu mwambie na Saint Anne kabisa na France yake
Ufaransa tunaharibu,tunachoma na kuteketeza njia zote za chenga na Chocho[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mpira sheri yake ni kwamba mshindi anatakiwa apatikane ndani ya dakika 90
Mnapoenda beyond maana yake mnalazimisha bingwa apatikane kwa njia zisizo za halali
Walijua salama yao ni kulipa goli kwa mbeleko za penaltKwani maengland yamepata penati mbili [emoji15][emoji15][emoji15]
Unapotaja Ufaransa,usilinganishe na vitu vya ajabuMORROCO vs Spain no one believed they will advance to the next stage
Morocco vs Portugal also no one believed they will advance
Now vs France I bet they will make through to the final
It's compulsory to believe that but MORROCO can lift the world cup because they have best statistics than any other team in the world cup campaign so far
Kama nawaona vile, England ingekuwa hiari yao,wangeamua kuchanja mbuga upande wa 2.Utabadilisha timu mpaka ukome ila hakuna timu ambayo ikipewa nafasi ichague mpinzani wakucheza naye ikachagua France
Hakuna!!!!
Sio Morroco sio Adventina, hakuna ambaye yuko tayari kukutana na France kwa hiari yao
Hii imewakuta tu wamwpangwa na hawana namna inabidi tu wacheze ila ingekuwa hiari yao hakuna ambaye angethubutu kuchalenjiana na mfaransa