Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #221
Ni sawa, lakini kumbuka kuwa chuki zako haziwezi kuwazuia kufika fainali Mkuu, kama wameandikiwa kufika watafika tu au kinyume chake....1.Brazil
2.German
3. Portugal
Nb: Siwapendi Argentina nitakuwa hater mkubwa wa timu hii najua wamependelewa kupewa kundi la kiboya safari yao mwisho robo fainali.
Wa nini sasa RAMOS tupo under captain BUSSergio Ramos hajaitwa kwenye kikosi cha Spain...mwisho wa zamaView attachment 2413433
Injury proneThiago Alcantara nae hajajumuishwa kwenye kikosi cha Spain kiendacho Qatar
Hawana striker tu
Kuanzia robo tayari kakosea, subiri wakati.
Haya wacha tuone uzuri tekelinalokujia halisemagi uwongo. Jamaa toka 2010 prediction yao ya winner wamepatia.Kuanzia robo tayari kakosea, subiri wakati.
Sebria MAT*KO MNOView attachment 2413457
Aliye zungushiwa ni mzungu wa simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sielewi
Hahaha umetembea na ile World Cup curse inayomkutaga bingwa mtetezi??Mimi nachojua nikuwa France anaenda kuishia hatua ya makundi ....
Tunaheshimu mawazo yako kaka...nazitabiria team nyingi za Afrika kufika hatua za mtoano, robo, nusu hata fainali.
Hahahaha muda wa kudanganya mechi zinaisha saa 8 usikuUle muda wetu naona umewadia sasa, full michepuko huku ukiangalia soka na kupiga pesa kupitia bet
Karibu sana mkuuBonge la uzi
Are u high on drugs?nazitabiria team nyingi za Afrika kufika hatua za mtoano, robo, nusu hata fainali.