Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
sana tu mkuu.dogo nadhani anaweza kumfanya wenger afikirie mara mbili.manake mie naona kafanya saves zote za maana leo.
MAN OF THE MATCH MANONNE .point 3 muhimu sana leo.
zile saves zake ndio kitu ambacho tumekosa sana arsenal,kipa anatakiwa hawepo pale anapoitajika na ndio manone alicho fanya leo.namsubiri kumsikia wenger atasemaje kuhusu dogo.Game imeisha,tumeshinda na dogo kawa Man of the match,inapendeza sana hii
zile saves zake ndio kitu ambacho tumekosa sana arsenal,kipa anatakiwa hawepo pale anapoitajika na ndio manone alicho fanya leo.namsubiri kumsikia wenger atasemaje kuhusu dogo.
fulham wana beki nzuri sana.Wakuu,
Mechi ilikuwa ni ngumu kwa Arsenal na Jinsi Fulham inayofundishwa na koch Muingereza Roy Hodgson kwa sasa ni moja ya timu ngumu kidogo kufungwa kirahisi.
Waliweza kwa sehemu kubwa kuwachezesha Arsenal ndani ya eneo lao huku Andy Johnson, Zoltan Gera, Damien Duff na Paul Konchesky wakiwa ndio wasumbufu.
Lakini Victor Manone leo ameonesha kwamba labda mzee Wenger atamfikiria kuwa namba mbili.
Katika mechi kama hii ya leo unahitaji ule wakati ambao mtu pure genius, Cesc Fabregas ndie anaweza kubadilisha mchezo.
Paul Konchesky alikuwa na mpira ndani ya eneo la Fulham akaucheza vibaya kiasi cha Alex Song kuupata na kwa haraka akampa Cesc Fabregas ambae kama kawaida yake hupenda kuangalia forward yupo wapi na akamchomekea Van Persie ambae huwa mipira kama hio haikosei.
Ni matokeo mazuri kwa Arsenal kwani yanaweka ile kasi ya kuwa na Man-Utd, Chelsea na wengine kuwa sawa na pia kuzingatia kwamba tuna game in hand.
Man of the match: Vito Mannone. The young Gunners keeper made some spectacular saves and looked like the real deal. Manuel Almunia might struggle to get back in the side once he's fit.
Moment of the match: Cesc Fabregas' instant reading of play to pick out Robin van Persie for Arsenal's goal.
Attempt of the match: Bobby Zamora's header in the 78th minute would have been the equaliser on any normal day. Unfortunately he was up against a keeper in inspired form.
Save of the match: Mannone made a few brilliant saves but none better than the one that denied Gera in the 35th minute. A dive low to his right when he looked well-beaten
Talking point: Does Abou Diaby have a twin brother who stands in for him? He sometimes looks brilliant, at other times he looks like he should be playing in the Conference.
skysports hio nenda ukamsome kocha wako pia alichosema lol.pole mkuu kwa kipigo ndio kawaida ya mpira.Hii umeicopy wapi mazee.....iko vizuri hasa kwa sisi tuliokosa mpambano!
Kwa kweli we were just lucky, cha muhimu tumechukua pointi 3.
Kwa mtazamo wangu Song na Diaby wakicheza pamoja tunakuwa hatarini zaidi kufungwa magoli ya freekick. Angalau leo Manonne katuokoa, Song na Diaby wote wako very slow na wana tabia ya kusababisha adhabu katika maeneo ya hatari. Afadhali Denilson apone.
Fabregas kwa kweli hachezi kwa ari hivi sasa tofauti na zamani, sijui moyo wake upo Barcelona tayari? zaidi ya pasi yake kwa RVP iliyosababisha goli hakutoa mchango mkubwa kwenye hii mechi.
Manonne katuokoa ila bado nina wasiwasi na staili yake ya kutema mpira ndani ya box, kama Fulham wangekuwa na strikers wepesi wa kucheza rebound zake tungefungwa kirahisi.
Hii umeicopy wapi mazee.....iko vizuri hasa kwa sisi tuliokosa mpambano!
nadhani tumefikia wakati sasa tuwe tayari kwa lolote summer ijayo kuhusu fabregas manake hata jinsi anavyocheza ni ujumbe tosha.kuhusu ramsey nadhani nimapema mno kumtupia mzigo mzito kama huo labda arshavin atapewa kazi hio maanake jamaa nae mzuri sana kwa pasi.ramsey,wilshere na merida hawa madogo watakuja kuwa balaa in the next few years.
...kuna kila dalili AARON RAMSAY atakuwa mrithi wa Fabregas, labda ndio maana FAB hana raha siku hizi...
wadau mnasemaje FAB akiachiwa kwenda Barcelona summer ya 2010?
huyu diaby ndio tatizo ndio maana simkubali kwa vile hayuko consistency.jamaa anazubaa na mpira mpaka watu wanauchukua hayuko faster kufanya maamuzi.Kwa kweli we were just lucky, cha muhimu tumechukua pointi 3.
Kwa mtazamo wangu Song na Diaby wakicheza pamoja tunakuwa hatarini zaidi kufungwa magoli ya freekick. Angalau leo Manonne katuokoa, Song na Diaby wote wako very slow na wana tabia ya kusababisha adhabu katika maeneo ya hatari. Afadhali Denilson apone.
Fabregas kwa kweli hachezi kwa ari hivi sasa tofauti na zamani, sijui moyo wake upo Barcelona tayari? zaidi ya pasi yake kwa RVP iliyosababisha goli hakutoa mchango mkubwa kwenye hii mechi.
Manonne katuokoa ila bado nina wasiwasi na staili yake ya kutema mpira ndani ya box, kama Fulham wangekuwa na strikers wepesi wa kucheza rebound zake tungefungwa kirahisi.
Tatizo la Wenger jee amejitayarisha vipi kuziba pengo la Fabregas? Mpaka leo ameshindwa kuziba mapengo ya Gilberto, Hleb na Flamini.Arsenal wala hawakosi usingizi wa kwamba Fabregas ataondoka kwani wataweza kuingiza benki kiasi kisichopungua 40mil.
Haipingwi kwamba ni mchezaji mwenye intelligence na vision awapo uwanjani lakini kama atalazimisha kwenda Barcelona ambako ndio alikuwa anakuzwa kwenye kitalu chao Arsenal hawataweza kukaa mlangoni na kumzuia.
Arsenal wana wachezaji wengi wa kiungo kama Jack Randall, Jack Wilshere,Aaron Ramsey,Fran Merida, Denilson, Abou Diaby, na Barazite.
Hawa ni wachezaji ambao umri wao ni wastani wa miaka 19 na 21 ambao ni umri wa Fabregas.
Na kwa sasa Arsenal hawatakuwa na matatizo na wachezaji wa Afrika ambao mara nyingi huondoka kwenda Afrika kucheza Africa Nations Cup, kwa hio ikifika mwezi January ni Alex Song wa Cameroon na Emanuel Ebue tu ndio waafrika waliobaki Arsenal wataoweza kwenda huko ikiwa watachaguliwa na nchi zao.
kama fabregas ataondoka ni muhimu wenger anunue mchezaji kuziba nafasi hio kuliko kusema kwamba atajaribu kuwapa nafasi kati ramsey,wilshere au merida.Tatizo la Wenger jee amejitayarisha vipi kuziba pengo la Fabregas? Mpaka leo ameshindwa kuziba mapengo ya Gilberto, Hleb na Flamini.
Ingawa Ramsey na Wiltshere wana potential lakini bado hawana kiwango kuithibiti Idara ya viungo kiukamilifu, wanahitaji kama season 2 zaidi.
Tunahitaji Wenger asajili alau viungo wawili wa kazi.