...watabana weeee, lakini wataachia wenyewe...!
...
Fingers crossed too here..Tusikilizie
Mkiomba MUNGU nao wakafanya hivyo mtatoa droo mpaka penati!Tuombe Mungu.
Mkiomba MUNGU nao wakafanya hivyo mtatoa droo mpaka penati!
Gunners hapo ndio mwisho wao. Poleni in advance.
Mkiomba MUNGU nao wakafanya hivyo mtatoa droo mpaka penati!
Gunners hapo ndio mwisho wao. Poleni in advance.
Mbu!
We acha tu mambo ya penalt ni presha maana mtoano! It wasnt easy ila the gunners wamefight to the very end.
Congrats!
..Fabregas atakuwa amerudi kabla ya robo fainali? We miss his creativity at the centre of the park for sure!
...mnh, we acha tu, nilipatwa na homa ya ghafla, ...roho inaweza kuacha mwili kiutani utani tu!
...Ee ndugu yangu, hiyo ndio dua ya wana bunduki wote, ...pengo lake halijazibika yule... Mungu ibariki, Rosicky, Adebayor na Fabregas wote watakuwa weshapona kipindi hicho, Mungu akipenda!