Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
....mnh, it wasnt pretty!!!!!!!!!!!!!
ushindi wa matuta, presha juu juu!...
dah, wazee mliotuombea dua tunashukuru dua zenu, esp mtani wa jadi, NZIKU, na Belinda Jacob, ....
Saikosisi nusura 'uchuro' ulotuwekea ugeuke kweli, mnh!!!
BaK!....Shukran kwa kurudi tena jamvini!
pheeeeeeeeeeeeeeeeeeeewwww....
tumeponea kwenye tundu ya sindano wallahi!
....
Hongereni Gunners ila mbona hao VIBONDE wamewasumbua sana
Wewe msiombe kukutana na Man U kabisa wakati huu
Hongereni Gunners ila mbona hao VIBONDE wamewasumbua sana
Wewe msiombe kukutana na Man U kabisa wakati huu
Kwani matokeo ya tarehe 8 November 2008(wakati Arsenal inaandamwa na majeruhi yalikuwaje??),kumbuka kwamba sasa hivi Dudu,Walcott,Rosiscky ndani ya nyumba(bahati yenu Arshavin hachezi UEFA ila kwnye EPL atakuwepo),Pia Fabregas na Adebayor watakuwepo,mbona rahaaaaa...So usitegemee mteremko kwa kikosi hiki mkuu
Naona mpira umekwisha na Arsenal Kampiga Blackburn Bao 4-0. Patamu hapo.
Wewe msiombe kukutana na Man U kabisa wakati huu
Liverpool 4 Man U 1, ni wakati gani huu??
duh..naona heshima PL inaanza kurudi sasa....
A tale of two wingers saw Aaron Lennon inspire Tottenham to a 2-1 victory that does Arsenal plenty of favours on Sunday.
After The Gunners snatched fourth place from Aston Villa for the first time this year on Saturday, Martin O'Neill's men knew they needed a result to keep their noses ahead in the Champions League chase.
...Naam naam Kaizer, nami sikutaka kushangilia mpaka baada ya kupata matokeo ya leo Aston Villa ilipolala kwa Spurs, πππ kidogo kidooooooooogo tunapanda!
Belo said:Kila msimu hadithi ile ile najua mtapata nafasi ya 4 na mtamuona tena Wenger ni shujaa kwa kupata nafasi ya 4 next season yaleyale
Solution ya matatizo yenu ni kumtimua WENGER msipoangalia next season MAN CITY na SPURS watakuwa na timu nzuri mkiendelea na huyo Wenger mtegemee nafasi ya 5 au 6
Ac Milan walimchukua Sendorous n sasa waamtaka Clichy for 14m je watampata na je Wenger atamruhusu aondoke?
Ac Milan walimchukua Sendorous n sasa waamtaka Clichy for 14m je watampata na je Wenger atamruhusu aondoke?