Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....mbona hamshangilii??? hamtaki eeh? ha ha haaaa...

Hongereni sana washika bunduki!..Mashetani wekundu wanawasubiri nusu fainali...
Mbu na kundi zima la wapenzi wa Arsenal, Congrats!...
 
final arsenal na barca.......arsenal watashinda 2-0 na kuchukua kombe
 
The penalty was HARSH.........to be followed by a second yellow.

....dah, hutaki! haya basi tunalifuta hilo moja. Matokeo Arsenal 2 - 0 Villareal
au (Aggreggate; Arsenal 3 - 1 Villareal) ...next Man U!

Hongereni sana washika bunduki!..Mashetani wekundu wanawasubiri nusu fainali...
Mbu na kundi zima la wapenzi wa Arsenal, Congrats!...

Thanks Belinda, wooooooow! ...walikuwa wanaombea Villareal sema ndio hivyo tena, Mungu sio Athumani,... tutawafunga Tarehe 29 April, tarehe 5 May, na hitimisho tarehe 16 May kuwavua ubingwa wa EPL!
 
Mbu
Lahaulaa badala ya Villareal ndo imekuja Man Utd, kazi kwenu tena kubwa!...Mpate hata kombe moja jamani hata kama siyo yote kwakweli!..

Nahisi kama historia ya Moscow itajirudia vile!!!!!
 
Haya watani hongereni, tunawakaribisha Old Trafford na sasa hivi defense yetu imepona baada ya kurogwa na Liverpool lazima tuwsonyeshe who your daddy is. Again hongereni
 
Mkuu angalieni fixtures zenu kwanza. Mshaanda majeruhi wangapi?
 
....mbona hamshangilii??? hamtaki eeh? ha ha haaaa...

Mbu,

nakuona unacheka mpaka jino la pasaka twaliona.
Duh!!! haya basi acha tushangilie.

Congratulations Gunners!!!
 
Inter out, Porto out (tena kwao), Gunners mnaendaje Final?

Well said, they known it ila ubishi wa kimpira tu na ile misemo mpira unadunda. Adebayo alihojiwa akaserma yeye hawezi kumpita Vidick kabisa ha ha ha ... can't wait 29th ... OldTraford.
 
Pires yupo, na matokeo mpaka muda huu ni;

ARSENAL 2 - 0 VILLAREAL

...Adebayor huyo! 😀

Wenger knows better than we do. In Wenger we believe!!! Walete hao mashetani wekundu tuwakemee kwa jina la soka la vijana lenye mvuto na ladha ya aina yake. Come on Gunners!!!!!
 
Wimbo huu naupenda
"Kama ningekuwa na uwezo ningewapa zawadi washabiki wenzangu wa Arsenal, kama"
"Kama ningekuwa bilionea ningewajaza mapesa washabiki wa Arsenal humu JF"
"Hii yote ni kama"
Arsenal tutafanya kama tulivyotinga nusu fainali, yaani tutatoka draw huke kwa akina MU then wakija kwetu, tunwapiga 3. Sawa hapa JF wanadhani ninaota.
 
....mbona hamshangilii??? hamtaki eeh? ha ha haaaa...
Washangilie wakati wanajua safari yao inakuja
Mbu jana game zimeisha mashabiki wa Arsenal walikuwa kimya kama hawajashinda
 
...Mbu jana game zimeisha mashabiki wa Arsenal walikuwa kimya kama hawajashinda

...we were Saluting the Legend, Robert Pires!!!

View attachment 4313
View attachment 4314
 
Well said, they known it ila ubishi wa kimpira tu na ile misemo mpira unadunda. Adebayo alihojiwa akaserma yeye hawezi kumpita Vidick kabisa ha ha ha ... can't wait 29th ... OldTraford.

Inaelekea unasoma sana uwazi na the the likes of Ijumaa etc, ungeisoma hiyo habari kwenye original source ungeelewa, Ade hakusema kwamba hawezi kumpita Vidic bali alisema kwamba Vidic ni beki mzuri ambaye anampa shida sana wanapokutana. Kama ni mfuatilaiji mzuri wa soka nadhani utakumbuka Rio alishawahi kusema mshambualiaji anayempa tabu ni Adebayo ingawa haina maana kwamba Rio anamwogopa Adebayo. Wenzetu hawana ubishi wa kijinga na jealous zisokuwa na msingi, kama unaweza utasifiwa tu, sio mpira wenu wa Simba na Yanga. Come on Gunners!!!!!!
 
Eh, wewe Mbu na wenzako huyu mganga wenu kweli kiboko...Duh!

Liverpool have confirmed Steven Gerrard will miss the Premier League match with Arsenal on Tuesday after being ruled out for at least one more week with an adductor injury.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…