Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!
unamaana BAK amepiga ramli? mimi naona kama mashetani wekundu ndo sasa hivi wanaimba tawira huku wakimtafuta lefa wa kuwabeba.
Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!
Naona presha zimeanza kupanda Gunners
KKN kama umeotea siku hizi Rooney anacheza upande wa kushoto huyo dogo kazi anayo
Haya mambo ya kubebwa yanatoka wapi tena ,huku hakuna kina Riley,Webb
Vipi Legend wetu Silvestre leo mtamchezesha?
Wenger - This is moment we have waited for
By Richard Clarke
This is the moment, according to Arsène Wenger.
The Arsenal manager sends out his side at Old Trafford this evening with the intention of not only beating Manchester United in the Champions League Semi-Final first leg but laying down the gauntlet for the rest of the competition.
...msiwe na wasiwasi! 😀 ...
kila la kheri wapenzi, washabiki, wakereketwa, wafurukutwa na wale waoooote kwa namna moja ama nyingine wanaotutakia mema 'washika bunduki' katika mechi ya leo!
kwa masharti ya 'mtaalamu' wangu aliyeniomba nisimtaje, Mbu will be back, 'Buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing' with vengeance after the game!
Mbu!huku sina upinzani na wewe...ile drafti hawataweza kabisa hawa Man u,hawana mpanga wa kudefend ila watadefend kwa vile watalazimika kufanya hivyo.hata akicheza Silvestre kama the gunners wakicheza mpira wao tuliouzoea pengo lake halitaonekana sana...mimi nawatakia kila la kheri.
...msiwe na wasiwasi! 😀 ...
kila la kheri wapenzi, washabiki, wakereketwa, wafurukutwa na wale waoooote kwa namna moja ama nyingine wanaotutakia mema 'washika bunduki' katika mechi ya leo!
kwa masharti ya 'mtaalamu' wangu aliyeniomba nisimtaje, Mbu will be back, 'Buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing' with vengeance after the game!
Naanza kuwapa pole kabla hata game haijaanza
Ee Wenger naomba umpange SILVESTRE leo
Kwa kikosi hiki lazima tuchapwe leo,Wenger kwa nini kampanga Sylvestre na kumuweka Djorou benchi?,pia kwa nini kamuweka Eduardo Benchi???????,sina amani kabisa na kikosi hiki,lazima tuchezee kichapo leo jamani....LolArsenal
Manchester United
- Manuel Almunia
- Bacary Sagna
- Kolo Toure
- Mikael Silvestre
- Kieran Gibbs
- Theo Walcott
- Cesc Fabregas
- Alex Song
- Abou Diaby
- Samir Nasri
- Emmanuel Adebayor
- Substitutes
- Lukasz Fabianski
- Eduardo
- Denilson
- Aaron Ramsey
- Johan Djourou
- Nicklas Bendtner
- Emmanuel Eboue
official
- Edwin Van der Sar
- John O'Shea
- Nemanja Vidic
- Rio Ferdinand
- Patrice Evra
- Darren Fletcher
- Michael Carrick
- Oliveira Anderson
- Cristiano Ronaldo
- Carlos Tevez
- Wayne Rooney
- Substitutes
- Ben Foster
- Dimitar Berbatov
- Ryan Giggs
- Paul Scholes
- Ji-Sung Park
- Rafael Da Silva
- Jonathan Evans
- Referee
Claus Bo Larsen (Denmark)
Huyum Mchaga/Mangi lazima leo atufungishe magoli kibao tu,simuamini kabisa jamani..BAK unakinaje kikosi hiki mkuu?????????????Kwa kikosi hiki lazima tuchapwe leo,Wenger kwa nini kampanga Sylvestre na kumuweka Djorou benchi?,pia kwa nini kamuweka Eduardo Benchi???????,sina amani kabisa na kikosi hiki,lazima tuchezee kichapo leo jamani....Lol
Kwa ulinzi tulionao leo lazima tuchapwe mengi tu...Wenger kwa nini kampanga Sylevestre wakati katoka majeruhijana tu na kiwango chake ni kibovu,leo lazima tuchapwe mengi tu,noma kweli yaanioshea kafunga,baada ya Tevez kusababisha kona. Dakika ya 18 Man U 1 Arsenal 0