Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!