Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!
 
kesho ni kesho, tumalize ubishi wa gunners na man utd, angalau 1/2.
nahisi gunners mtapigwa, mkijitahidi saaaaana draw.
tutakuwa pamoja kesho
cheers!
 
Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!

Sir Alex Ferguson says it is vital his Manchester United team do not concede an away goal to Arsenal in their Champions League semi-final first leg.
 
unamaana BAK amepiga ramli? mimi naona kama mashetani wekundu ndo sasa hivi wanaimba tawira huku wakimtafuta lefa wa kuwabeba.

Naam wamezoea kubebwa hawa MANU, angalia ule mchezo na Tottenham walikuwa wanaadhirika basi refa akawapa penalty from nowhere mara tu wakacharuka kama wamemeza vidonge vya kuongeza nguvu in 13 minuts wakafunga goli nne za haraka haraka. Kama refa hakuwabeba kesho basi lazima tuwaadhiri nyumbani kwao 🙂
 
Naona presha zimeanza kupanda Gunners
KKN kama umeotea siku hizi Rooney anacheza upande wa kushoto huyo dogo kazi anayo
Haya mambo ya kubebwa yanatoka wapi tena ,huku hakuna kina Riley,Webb
Vipi Legend wetu Silvestre leo mtamchezesha?
 
Mimi homa yangu ipo beki ya kushoto, Gibbs ni mzuri lakini Man U huwa wana tabia ya kutuchezea kibabe wakiona tunawazidi mpira, na wanaweza wakaka target katoto ka watu kwa bullying! Imagine lijitu kama Rooney au Tevez kwa mipira ya 50/50 wakiingia na haka kabwamdogo? Nahisi watakuwa wameshapanga njia yao ya kupitia- kushoto kwetu! Ila najua tutapata goli la ugenini piga ua!

...KKN, Gibbs majeruhi...haku-train na team asubuhi ya leo. Mambo haya ndipo ninaona ganzi ya loan spells, I wish Traore angekuwepo. Anyway,...Babu Silvestre leo 'kaamka' hajambo kidogo,...kaweza ku train...na atakuwa pande ile kukabiliana na misuko suko ya Ronaldo 🙁

Naona presha zimeanza kupanda Gunners
KKN kama umeotea siku hizi Rooney anacheza upande wa kushoto huyo dogo kazi anayo
Haya mambo ya kubebwa yanatoka wapi tena ,huku hakuna kina Riley,Webb
Vipi Legend wetu Silvestre leo mtamchezesha?

...Belo, Rooney kama anacheza kushoto (kama mlivyocheza na Spurs J'2) atakumbana na Bacary Sagna/Eboue... 🙂

Defence yetu kidooooooooooogo inapwaya, lakini Chenga tutawala na goli la ugenini ni lazima!!!
 
Wenger - This is moment we have waited for

By Richard Clarke
This is the moment, according to Arsène Wenger.
The Arsenal manager sends out his side at Old Trafford this evening with the intention of not only beating Manchester United in the Champions League Semi-Final first leg but laying down the gauntlet for the rest of the competition.

...msiwe na wasiwasi! 😀 ...

kila la kheri wapenzi, washabiki, wakereketwa, wafurukutwa na wale waoooote kwa namna moja ama nyingine wanaotutakia mema 'washika bunduki' katika mechi ya leo!

kwa masharti ya 'mtaalamu' wangu aliyeniomba nisimtaje, Mbu will be back, 'Buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing' with vengeance after the game!
 
Mbu!huku sina upinzani na wewe...ile drafti hawataweza kabisa hawa Man u,hawana mpanga wa kudefend ila watadefend kwa vile watalazimika kufanya hivyo.hata akicheza Silvestre kama the gunners wakicheza mpira wao tuliouzoea pengo lake halitaonekana sana...mimi nawatakia kila la kheri.
 
Naanza kuwapa pole kabla hata game haijaanza
Ee Wenger naomba umpange SILVESTRE leo
 
Huo mchezo wa Arsenal mliouzoea ni upi? maana naona kila siku "mkicheza kama tulivyozea" mwisho wa siku wanatoka trophy-less.
 
...msiwe na wasiwasi! 😀 ...

kila la kheri wapenzi, washabiki, wakereketwa, wafurukutwa na wale waoooote kwa namna moja ama nyingine wanaotutakia mema 'washika bunduki' katika mechi ya leo!

kwa masharti ya 'mtaalamu' wangu aliyeniomba nisimtaje, Mbu will be back, 'Buzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzing' with vengeance after the game!

Somo,
Mimi niko upande wenu leo. Go Arsenal~
 
Arsenal

Manchester United

  • Edwin Van der Sar
  • John O'Shea
  • Nemanja Vidic
  • Rio Ferdinand
  • Patrice Evra
  • Darren Fletcher
  • Michael Carrick
  • Oliveira Anderson
  • Cristiano Ronaldo
  • Carlos Tevez
  • Wayne Rooney
  • Substitutes
  • Ben Foster
  • Dimitar Berbatov
  • Ryan Giggs
  • Paul Scholes
  • Ji-Sung Park
  • Rafael Da Silva
  • Jonathan Evans
official

  • Referee
    Claus Bo Larsen (Denmark)
 
Naanza kuwapa pole kabla hata game haijaanza
Ee Wenger naomba umpange SILVESTRE leo

Ha ha ha ha Belo, dua la kuku...leo tunawatundika tu 2-1 naona SAF ana wasi wasi mkubwa 🙂
 
Arsenal

Manchester United

  • Edwin Van der Sar
  • John O'Shea
  • Nemanja Vidic
  • Rio Ferdinand
  • Patrice Evra
  • Darren Fletcher
  • Michael Carrick
  • Oliveira Anderson
  • Cristiano Ronaldo
  • Carlos Tevez
  • Wayne Rooney
  • Substitutes
  • Ben Foster
  • Dimitar Berbatov
  • Ryan Giggs
  • Paul Scholes
  • Ji-Sung Park
  • Rafael Da Silva
  • Jonathan Evans
official

  • Referee
    Claus Bo Larsen (Denmark)
Kwa kikosi hiki lazima tuchapwe leo,Wenger kwa nini kampanga Sylvestre na kumuweka Djorou benchi?,pia kwa nini kamuweka Eduardo Benchi???????,sina amani kabisa na kikosi hiki,lazima tuchezee kichapo leo jamani....Lol
 
Huyum Mchaga/Mangi lazima leo atufungishe magoli kibao tu,simuamini kabisa jamani..BAK unakinaje kikosi hiki mkuu?????????????
 
All in all tunategemea kabumbu safi kwani timu zote zina vipaji vya hali ya juu.
 
oshea kafunga,baada ya Tevez kusababisha kona. Dakika ya 18 Man U 1 Arsenal 0
 
Kwa ulinzi tulionao leo lazima tuchapwe mengi tu...Wenger kwa nini kampanga Sylevestre wakati katoka majeruhijana tu na kiwango chake ni kibovu,leo lazima tuchapwe mengi tu,noma kweli yaani
 
Back
Top Bottom