Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa kama mnavunjana miguu kwenye training si balaa hili....mna million 25 za Adebayor tafuteni mchezaji mkali wa nusu ya hiyo bei acheni ubahili.

Poleni sana ,msipoangalia hata top 4 hamgusi
Mbona kila mwaka majeruhi mmemkosea nini Mungu

...aisee hata mimi nashangaa hili chama langu imekuaje tena,... eti Diaby kamvunja mguu Nasri, mbaya zaidi wote ni Midfielders....suspicious minds watasema ndio kwenye kugombea namba nini..

Gaffer ka play down hiyo incident, anasema 'mchezaji' alikuwa anapiga mpira Nasri akaweka guu...within 6 weeks atakuwa fiti! INSHAALLAH 🙂
 
Hata huyo Rosisky mnasema karudi sijui hata kama atacheza msimu mzima bila kuumia
 
Eduardo nje kwa miezi miwili...poleni jirani ndio maisha. Mwambieni Wenger anunue msimu wenu usijekwisha kabla haujaanza!
 
Ashley Cole naye......

Eduardo nje kwa miezi miwili...poleni jirani ndio maisha. Mwambieni Wenger anunue msimu wenu usijekwisha kabla haujaanza!

...historia inataka kujirudia nini? AW ana siku 30 za kuimarisha team, hadithi za majeruhi sasa basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙁
 
...historia inataka kujirudia nini? AW ana siku 30 za kuimarisha team, hadithi za majeruhi sasa basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🙁
wewe hama timu kujitafutia ugonjwa moyo kisa nini? kama fabgregas anaondoka unategemea nini?
 
Ashley Cole pambafu zake Chelsea ndo hawatacheza champions league.
 
Naona majirani wanachangia kwa nguvu sana.
wengine walikaa miaka 50 bila hata kikombe cha kahawa,sasa wameibuka basi tabu tu.

Semeni tu,tunangoja hiyo August tuone matokeo.
 
wewe hama timu kujitafutia ugonjwa moyo kisa nini? kama fabgregas anaondoka unategemea nini?

Arsenal sio Fabrigas bana!......kulikuwa na kina Henry, Pires, Viera et al! Arsernal will stand with or without Fab!
 
habari ndio hizo kolo toure kashaenda man city kwa pound mil 15 na atakula mshahara pound 120,000 kwa wiki.kazi hipo hapa.
 
Kwa mwendo huu mpaka muda wa kusajili utakapofika tamati Arsenal mnaweza kujikuta mshapoteza timu nzima kwa Man City lol.
 
Mr. Bean.....na Fabrigas si utamwachia au?.....sasa usilalamike baadaye .....ooh timu kubwa zinawonea vijana wako wachanga etc....tumechoka na hizo cheap excuses bana!
 
Duuh,huu mwaka kweli ni wa shetani,
wanachukua mpaka toure la salalee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…