Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Sasa kama mnavunjana miguu kwenye training si balaa hili....mna million 25 za Adebayor tafuteni mchezaji mkali wa nusu ya hiyo bei acheni ubahili.
Poleni sana ,msipoangalia hata top 4 hamgusi
Mbona kila mwaka majeruhi mmemkosea nini Mungu
...aisee hata mimi nashangaa hili chama langu imekuaje tena,... eti Diaby kamvunja mguu Nasri, mbaya zaidi wote ni Midfielders....suspicious minds watasema ndio kwenye kugombea namba nini..
Gaffer ka play down hiyo incident, anasema 'mchezaji' alikuwa anapiga mpira Nasri akaweka guu...within 6 weeks atakuwa fiti! INSHAALLAH 🙂