Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton ni timu nzuri, yenye kocha mdogo mwenye ambition, wachezaji wazuri super talented sio rahisi kutengeneza chances kwa kiwango unachodhani, baadhi ya mechi utashinda ushindi mwembamba, fine margin, mpira upo hivyo, inapotokea referee akaharibu ushindi huo ndipo watu wanalalamika.

Mpira wa kusema brighton au brentford au Forest ni timu ndogo umepitwa na wakati, kina Trossard, Ben white, cucurela hata Moises Caicedo walitoka brighton na walisajiliwa kwa mamillion ya pesa, leo tunahusishwa na wachezaji km Mbeumo, Semenyo n.k wanaotoka timu za aina hii tukidhani kwamba wanaweza kutuvusha kwenye daraja tulilokwama, wapo kina Baleba, Mitoma n.k wanahusishwa na timu kubwa kama Liverpool, kwa hiyo si rahisi kutengeza chances 20+ unapocheza na timu kama hizi. Unapopata goli hata moja unahitaji kulilinda ukicheza na timu za aina hii hasa ukiwa kwenye title race, ukipokonywa kwa makusudi lazima ulalamike.
 
asenyoz acha uoga😁
 
Check form ya Brighton ya msimu huu na uliopita na ambayo tuliwafunga effortlessly nje ndani. Wakiwa na kocha aliyehusishwa kurithi kazi ya Klopp.

Kisha kama uliziangalia mechi, kumbuka ni wapi tulionyesha we really mean business. Notice kwamba Brighton hawakua na ST wao mkongwe mechi ya juzi.

Na kila tunapodrop points, ubovu wa timu ni uleule. Not mobile enough going forward not creating chances enough. Na hii hutokea kila inapotakiwa isitokee
 
Na ukumbuke mechi hiyo tuliwakosa first teamers wangapi kutokana na ugonjwa au majeruhi, it must affect our dynamics dhidi ya timu aina ya Brighton, tusingeweza kutengeneza zaidi ya tulichofanya.
 
Na ukumbuke mechi hiyo tuliwakosa first teamers wangapi kutokana na ugonjwa au majeruhi, it must affect our dynamics dhidi ya timu aina ya Brighton, tusingeweza kutengeneza zaidi ya tulichofanya.
Leo against Newcastle. Unaweza share idea unaonaje kikosi?
 
Hii
Kumbuka pia hii ni nusu fainali na ni mda mrefu hajanyanyua kombe
 
Hii

Kumbuka pia hii ni nusu fainali na ni mda mrefu hajanyanyua kombe
Hii mechi ni two legged.

Anaweza akajaribu kukomaa asipate damage kubwa ili second leg afanye comeback. Au akakomaa asababishe damage kubwa ili hata second leg isiwe na maana
 
Reactions: Ccc
Kwa line up ya leo sijui tunapoteza vipi hii game. Kila mtu amekamilika, uwepo wa Havertz pale unanitoa wasiwasi.
Nani amenotice formation za leo ni sawa kwa pande zote mbili?
 
Changes ndogo sana

Newcastle atakufa tu, hakuna namna
 
Kumbuka tulikosa ubingwa pia. Hivyo tunahitaji namba zinazoonesha kuna kuimarika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…