Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mara nyingi kipa akifungwa kwa kuuzwa kwa shot ya kwanza zinazofuata zinakua hivyo hivyo coz anashindana kuotea.
Huu ndio ujinga ambao siku zote huwa siukubali. Nakumbuka enzi zangu golini hizi penati nimecheza sana.

Unapochelewa na kushindana na kasi ya mpira una chansi kubwa ya kuicheza mipira hata kwa miguu.
 
Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Refa kawabeba sana nyie nyumbuz. Mpaka sasa tulitakiwa tuwe tunacheza na wachezaji wenu tisa au nane uwanjani.
Wewe ndio MJINGA wa mwisho kama sio wa kwanza.
Kampa Man U red card, Kakupa penalt ukakosa unataka akupe nini tena, matako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…