Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Phase ya ngapi sasahivi?
 
Arteta na Edu wanajua kutafuta wachezaji aisee!... Yaani Sasa hivi Hata nikisikia wanamtaka mayele, nitawaamini tu!
Kweli ndugu yangu, nasikia dirisha hili wanamtaka joshua mutale, yule atatufaa sana kufanya positional play na kina kai na kuongeza attacking firepower kule mbele.
 
Kweli ndugu yangu, nasikia dirisha hili wanamtaka joshua mutale, yule atatufaa sana kufanya positional play na kina kai na kuongeza attacking firepower kule mbele.
Na Deborah akapige inverted left back. Hatari na nusu.
 
Daaaah. Mkuu hizi umeniwahi kuzituma mkuu. Kocha amekata tamaa kabisa.

Zina hizo kauli Zina tofauti Gani na zile za ETH
 
Album Title: Arsenal

Tracklist:

1. This is our year
2. Corner bam ft. Saka
3. The ball is bad
4. Next season ft. Evra & Netflix
5. Not Arteta’s fault
5. Chelsea scammed us ft. Havertz & Sterling
6. Trophyless season again (Legacy)
 
Baada ya ishu ya abuse ya Kai nahisi Arsenal imebidi waonyeshe kuna juhudi wanafanya ili kuimarisha kikosi.

Juhudi ya kwanza ni kufunguka kwamba Zubimendi yupo kwenye advanced talks na ya pili ni Arteta kusema hii January wanatafuta wa kusajili. Tofauti na mwanzo alivyodai hana mpango.

Hii itawapoza mashabiki.
 
Maneno mengi vitendo sufuri bin sufri.
 
Tunaenda kuweka nguvu ligi na uefa

FA na carabao kwa Arsenal bado ni failure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu Zubeda aliwakataa Liverpool timu yenye makombe mengi ya Uefa kuliko timu yoyote England halafu eti aje awakubali nyie Arsenyau kirahisi rahisi tu?
Halafu hamjiulizi kwa nini hizi story zimeibuka baada kufungwa na Utd na kufurushwa kwenye michuano ya FA?
Hizo ni janjajanja za viongozi wa Arsenyo kuwapoza machungu mashabiki wake baada ya kuona msimu huu pia Arsenyau mnatoka mikono mitupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…