Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa namna tunavyocheza au kuna namna flani timu yetu inakuwa hatari tukiwa na profile kama Jorginho at #6, si mwingine bali ni zubimendi, Agenda za Partey is not a right profile at #6 zimepita, Arsenal na Arteta wanajua hilo, taarifa za zubimendi zina justify watu walichokiona kipindi cha nyuma kwamba Partey sio #6 tunayemuhitaji japo pia sio mchezaji mbaya, ni mazingira tu.
 
Hivi Mourinho siku hizi yupo timu gani?

Kama ningekuwa kocha ningeweka approach ya low block kama Mourinho

Napenda sana, mbele naacha mchezaji mmoja tu wote wanabaki nyuma.

Mourinho hata dunia iumbwe tena asingeweza kuwa kocha wa Arsenal, na kama angepata hiyo bahati najua angetupa Champions league lkn asingemaliza mwaka angefukuzwa sababu ya culture, watu wa Arsenal wanapenda vitu vizuri, we like good things & sexy footy, this is our culture.
 
Partey tunamsagia kunguni tena?
 
Uturuki
 
Partey tunamsagia kunguni tena?
Kama umewahi kumuangalia Busquet na ukasema ni mid mzuri hakuna namna Partey utamuona hovyo.

Same profile. Muachia namba 6 anakuchezeshea timu vizuri tu.

Sasa huyo Zubimendi ni Busquet mwingine, so siyo mbaya kama tutampata akiwa kwenye prime.

Ila sisi hatutengenezi chances? Shida ni chances au shida ni kuscore? So who do we really need?
 
Boss mbishi anajua.
 
Dhidi ya spurs msimu huu kwao tuligomewa kuvaa hizi jezi tukiambiwa weupe umetawala tungefanana nao.

Nataka kuona leo spurs watavaa jezi rangi gani
 
Huu moto tunaowapelekea hawa non stop halafu wanataka kututangulia kimuujiza. Yale yale ya manyumbu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…