Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Hawa kina Havertz na Odegaard wanavyo zingua kukosa magoli ya wazi wakati wako Emirates, uwanja bora kabisa duniani, wanaudhi sana.

Cheki huu uwanja wetu hali yake leo. Na hii ni hali ya kawaida. Uwanja una mabonde, nyasi zinawasha, siafu wametanda kote, ila hatukosi magoli hovyo. Na mpira ukiingia kichakani unachukua mkuki kuufuata ili simba au mbogo akikuzingua unadeal naye huko huko ndiyo urudi na mpira. Kichaka chenyewe asilimia 90 ni miwashawasha (stinging nettle) hivyo unavaa koti kwanza ndiyo unazama ndani.

Lakini hatukosi magoli kizembe kama hawa kina Havertz.
 
Mtumie huu ujumbe inbox
 
Huyu kaongea ukweli unaouma mashabiki wa arse8.
 
Yaani Mou na makombe yote ya ligi kubwa nne duniani na makombe ya uefa ya kutosha ndio aje arsenal? Timu isiyokuwa na uhakika wa kombe kila msimu? Mmelogwa.
 
Nimeanza kuwaelewa mliokuwa mnamponda havertz
Nilipokuwa namponda humu, mnaniambia maswala ya Ariel duels sijui na takataka gani, mule hakuna mchezaji, kama mayele angezaliwa ulaya au pacome angeanzia mpira ulaya basi hawa jamaa, wana kipaji na uwezo mkubwa kushinda huyu kenge, HAJUI mpira, akacheze timu za kugombea nafasi ya 10 huko.
Hana akili ya mpira, bado yupo slow, finishing hakuna, mguuni hakuna mali,
Mchezaji anakimbia kama ana kinyesi matakoni
 
Wapi mkuu, nije nicheze walau mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…