HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Wako points 4 mbele yetu na wana mechi moja mkononi (tuwahesabie wako points 7 mbele yetu). Wasiwasi wa nini? Wamesahau Spurs walivyojikoroga kwa City tukakosa ubingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako points 4 mbele yetu na wana mechi moja mkononi (tuwahesabie wako points 7 mbele yetu). Wasiwasi wa nini? Wamesahau Spurs walivyojikoroga kwa City tukakosa ubingwa?
HayaSafi sana wanangu wa Tot, sasa hapa kilichobaki na mlinzi sana kushambulia sana [emoji91]
Easily nawapa points saba. Ngumu kuhisi wanapotea soonWako points 4 mbele yetu na wana mechi moja mkononi (tuwahesabie wako points 7 mbele yetu). Wasiwasi wa nini? Wamesahau Spurs walivyojikoroga kwa City tukakosa ubingwa?
Kweli kabisaEasily nawapa points saba. Ngumu kuhisi wanapotea soon
[emoji1][emoji1][emoji1]Bado kidogo afe huyu pimbi
View attachment 3203256
Mtumie huu ujumbe inboxView attachment 3203598
Hawa kina Havertz na Odegaard wanavyo zingua kukosa magoli ya wazi wakati wako Emirates, uwanja bora kabisa duniani, wanaudhi sana.
Cheki huu uwanja wetu hali yake leo. Na hii ni hali ya kawaida. Uwanja una mabonde, nyasi zinawasha, siafu wametanda kote, ila hatukosi magoli hovyo. Na mpira ukiingia kichakani unachukua mkuki kuufuata ili simba au mbogo akikuzingua unadeal naye huko huko ndiyo urudi na mpira. Kichaka chenyewe asilimia 90 ni miwashawasha (stinging nettle) hivyo unavaa koti kwanza ndiyo unazama ndani.
Lakini hatukosi magoli kizembe kama hawa kina Havertz.
Hivi arse8 aliwahi kushinda kombe lolote la Ulaya?City ni nani kwa Arsenal
José Mourinho:
"Kwa mawazo yangu Mimi lakini, Arsenal FC haina sifa yoyote ya kuwa timu kubwa."
"Kila mara utasikia timu Ina nguvu (strong) lakini hamna Cha maana wanafanya kupata Mataji."
"Hakuna timu kubwa ambayo inacheza vizuri bila kupata Mataji."
Huyu kaongea ukweli unaouma mashabiki wa arse8.José Mourinho:
"Kwa mawazo yangu Mimi lakini, Arsenal FC haina sifa yoyote ya kuwa timu kubwa."
"Kila mara utasikia timu Ina nguvu (strong) lakini hamna Cha maana wanafanya kupata Mataji."
"Hakuna timu kubwa ambayo inacheza vizuri bila kupata Mataji."
😆😆😆😂😂😂😂😆😆😂😂😂😂😂 Huyu kipa anatakiwa kuanzia leo abatizwe jina 'Kasongo'
Yaani Mou na makombe yote ya ligi kubwa nne duniani na makombe ya uefa ya kutosha ndio aje arsenal? Timu isiyokuwa na uhakika wa kombe kila msimu? Mmelogwa.Hivi Mourinho siku hizi yupo timu gani?
Kama ningekuwa kocha ningeweka approach ya low block kama Mourinho
Napenda sana, mbele naacha mchezaji mmoja tu wote wanabaki nyuma.
Mourinho hata dunia iumbwe tena asingeweza kuwa kocha wa Arsenal, na kama angepata hiyo bahati najua angetupa Champions league lkn asingemaliza mwaka angefukuzwa sababu ya culture, watu wa Arsenal wanapenda vitu vizuri, we like good things & sexy footy, this is our culture.
Nilipokuwa namponda humu, mnaniambia maswala ya Ariel duels sijui na takataka gani, mule hakuna mchezaji, kama mayele angezaliwa ulaya au pacome angeanzia mpira ulaya basi hawa jamaa, wana kipaji na uwezo mkubwa kushinda huyu kenge, HAJUI mpira, akacheze timu za kugombea nafasi ya 10 huko.Nimeanza kuwaelewa mliokuwa mnamponda havertz
Vitu vyangu hivi mkongwe. Hiyo ukiipiga uwanjani unasikia mashabiki wanasema, muache hapo hapo. 😂🤣Bado kidogo afe huyu pimbi
View attachment 3203256
HapanaHivi arse8 aliwahi kushinda kombe lolote la Ulaya?
Au unaambiwa 'Mpige kibao'Vitu vyangu hivi mkongwe. Hiyo ukiipiga uwanjani unasikia mashabiki wanasema, muache hapo hapo. 😂🤣
Wapi mkuu, nije nicheze walau mara moja tu.View attachment 3203598
Hawa kina Havertz na Odegaard wanavyo zingua kukosa magoli ya wazi wakati wako Emirates, uwanja bora kabisa duniani, wanaudhi sana.
Cheki huu uwanja wetu hali yake leo. Na hii ni hali ya kawaida. Uwanja una mabonde, nyasi zinawasha, siafu wametanda kote, ila hatukosi magoli hovyo. Na mpira ukiingia kichakani unachukua mkuki kuufuata ili simba au mbogo akikuzingua unadeal naye huko huko ndiyo urudi na mpira. Kichaka chenyewe asilimia 90 ni miwashawasha (stinging nettle) hivyo unavaa koti kwanza ndiyo unazama ndani.
Lakini hatukosi magoli kizembe kama hawa kina Havertz.
Eehh, "mpige na kibao" mtaani raha sana.Au unaambiwa 'Mpige kibao'
Hii Ngorongoro mkuuWapi mkuu, nije nicheze walau mara moja tu.