So mna mpango nao ganiNi wale wale walio sababisha mtoke FA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili jibu limesimamia ukucha kabisa, sidhani kama atakua na pumzi nyingine ya kuuliza maswali ya kiduwanzi.Ni wale wale walio sababisha mtoke FA.
Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tenaLeo nina ka intaneti kidogo ngoja nitafute muda wa kupost vitu vizuri vizuri vya Ze Ganaz maana Hamisi ametokomea wapi sijui...Mkorea naye amebanwa sana na majikumuu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii comment imenifanya nicheke sana na nimerudia kuisoma tena na tena.Mzee tupo sana ila kwa kuibia ibia, tusipokua makini arteta na kai wake watatuvua nguo msimu huu tena
Sasa naanza kuelewa kwanini hamis77 huwa anakimbia kwa muda jukwaa
Anyway aston villa tutamkanda 3 kavu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ligi ni ya kiume sana, kila mbabe hua ana mbabe wake.Kumbe Labyrinth na mijusi milia wake wamepigwa kwao leo?
Tuna unga unga tuA depleted squad
Dah! Kama vile mapigo ya moyo yameanza kwenda kasi hivii
Dk ya 90 anapata goliDakika ya 84 liva ana attempts 34