Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatimae Arsenyo wazee wa clean shit nyumbani na ugenini wamefuzu kuendelea na michuano ya Carabao cup baada ya kumfunga Nyukesto goli 4-0
 
Mlisema Partey akicheza Mido hamfungwagi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… acheni kudanganyana aseee.
Huenda unaichukulia kama ina maana ile ile, ila nakumbuka Castr alichosema kuhusu position ya Partey ni kwamba Partey akicheza RB hatushindi. Labda hiyo kauli inamaanisha akicheza kati hatufungwi pia...
 
Hawa jamaa kila siku kila mwaka wanajiita watoto tu, sijui watakua lini. Wao wanafurahia chenga tu siku zote NETFLIX INDEED.
 
Kenge maji nyie ,,,,, stay humble eehhhhh ! Mmebakiwa na UCL na EPL ,,,, kina sterling ndo watapambana mshinde haya makombe ama ? Ode ? Kai? Kichwa box Partey ? Netflix
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…