Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wangese kweli, kama wangesajili January sasa hivi tungewapa kazi ya kufanya maana Arne Slut kuna viwanja vingi vya machinjio bado hajakanyaga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wasajili pesa waitolee wapi?
Unaambiwa pesa waliyotumia kumsajili Decline Rice ilipelekea almanusura timu kufilisika, sasa hivi ni mwendo wa kubeba wachezaji wa mikopo tu.
Kroenke ni mfanyabiashara amekuja kutafuta faida sio hasara.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau hivi mna habari yoyote kuhusu hatrick aliyofunga jana kijana wenu Super Chido Obi Martin dhidi ya Chelkenge?
 
ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
 
ubingwa uko wazi,sema timu yetu haiko vizuri ubahiri utatuponza,liverpool bado hawajaexperience downfall ya season wanaweza kupoteza zaidi ya point kumi
Ubingwa unatutafuta ila hatuutaki kwa misimu hii 3 mfululizo.
 
Q
Ndio mana LiArteta linampenda sana Kai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…