Hili ni kama tangazo la kifo kwa wapinzani.Big Ben is back,strong and better than ever.
HeheheHi
Hili ni kama tangazo la kifo kwa wapinzani.Big Ben is back,strong and better than ever.
Mbavu ya kulia imepata mtu na sasa timber au lewis Mmoja lazima akae kwenye wings
@Castr hizi habari za Merino kujaribiwa kama Striker zimekaaje?Kwenye mechi ya leo haijalishi on paper na in field kotekote hakusapoti ushindi mwepesi. Hii ni kwakua huwezi predict mentality on paper, ni mpaka mechi ianze ndiyo inajua kua ingawa on paper we lack forwards ila mentality itatubeba kutupa magoli.
Ni rumours ambazo sijaona Arteta akiaddress@Castr hizi habari za Merino kujaribiwa kama Striker zimekaaje?
Baada ya hapo mechi zilizofuata ulimuangalia? Ikiwamo hiyo yenu aliyombagaza Saliba.Duh huyu si ndiyo alitolewa dakika ya 30 mkaanza kusema mliongopewa kua anajua mpira kumbe ni lofa?
Mna shida nyie...hampo FA hampo Carabao. Hivi mara ya mwisho kuiona timu yenu inacheza ilikuwa mwezi gani tena. Kushabikia haka katimu shida sana aisee.Mara 1000 Calafiori angeanza kama LW kuliko Sterling