Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona unanifatafata sana mkuu🤠🤠🤠....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu😀😀😀😀
 
Mbona unanifatafata sana mkuu[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....hivi mngefanikiwa jumapili kutufunga si ndo ungekuwa unani quote kwny majukwaa yte....kuwa muungwana sheikh tumefunga swaum ngumu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole na hongera kwa swaumu mkuu.
Sio nakufatafata kumbuka kipindi cha Masingeli wewe pamoja chawa mwenzio mkorea mlikua mnasumbua sana humu, sasa hivi tunachofanya ni kuwarudishia tu change zenu.
Hivyo tunakuomba uwe mvumilivu tu kama sisi tulivyo wavumilia kipindi kile cha pressing & overloading, kipindi cha positional interchange, flexibility na aerial duel.
 
Kwenye pot ya leo kuna possible champions watatu Inter, Bayern na Barcelona.

Pot ya J5 possible champions ni wawili, Arsenal na yeyote atakayepita kati ya Atletico na Madrid. Kisha baada ya mechi yao anabaki possible champion mmoja kwa pot ya J5.

We are fucked in terms of probability
 
🤣 not yet
 
Yes fucked indeed...
 
Ngombe wa masikini hazai,,,,na akizaa kindama kinakufa !

Sawa waholanzi mnawatoa ,,,,, Mbele mtakutana mhuni Diego ama Daktari Ancelot,,,! Mtachagua wenyewe ! Mna nuksi iliyojaa gundu mnato !
 
Ngumu kwetu sote pamoja na kuku vishingo wa Anfield😂😂😂..mnaongoza kundi halafu mnakuja kutolewa round of 16....poleni majirani😂😂😂
Yaani tusingezingua hata EPL angekuwa anapumulia mashine. Ila Arteta mamaee....
 
Honestly mwaka ambao sitamlaum arteta ni mwaka huu
Majeruhi yamemuangusha
Klop msimu aliopata majeruhi wengi hata top 4 hakufika
Msimu uliopita tulifunga magoli mengi sana mpaka tukaona hatuna haja ya striker
Ila dirisha lijalo akigoma kusajili proven striker sitakuwa upande wake milele
 
Au....je PSV akipindua meza kibabe na kututoa leo?
 
Huu msimu hata ukitaka kulaumu ukicheki reality unabaki kujisemea moyoni tumejitahidi. City kaumia Rodri kapoteana kila sehemu
 
Huu msimu hata ukitaka kulaumu ukicheki reality unabaki kujisemea moyoni tumejitahidi. City kaumia Rodri kapoteana kila sehemu
Watu hawaangalii mpira
Kuna muda najiuliza magoli yanatoka wapi kama mfumo wa kocha kumtumia Merino kama namba tisa nachoka kabisa
Ila asiposajili striker sitakuwa upande wake tena
 
Nyie mmefocus kwenye kombe gani hadi hivi sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtakatifu Anne sio kawaida yako kabisa, yaani nimeshangaa mpaka dakika hii haujazungumzia chochote kuhusu Darwin Nunez.
" You will never walk alone, Nunes will escort you out of Champions League"

Jogoo alikula mchele mchana, kaliwa na wali usiku[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…