Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] HENRY14 siku hizi na wewe umeshakua na kaumasingeli flani hivi ka kiwaki.
Haya hebu vuta picha Madrid anawatoa kwenye hio machuano, kisha Forest, City na Chelsea wanamaliza ligi juu yenu mnaikosa top4, halafu mbaya zaidi Man Utd kwa papatu papatu anabeba Europa na kufanikiwa moja kwa moja kushiriki Uefa msimu ujao, unafikiri hali itakuaje kwenye hili jukwaa la wapenzi wasindikizaji.
 
Bruno Fernandez HATRICKKKKKKK

Mmelala nyie KENGE.
 
Jamaa Flano bwege sana...
 
Huo ubavu hamna braza.....mnaelekea kuwa Man U version 2....mnaitumia mihela mingiii halafu hamna mnapokwenda....j2 tutahakikisha ile nafasi ya 4 Pep Guardiola anarudi pale....ni dharau Chelkenge kuwa juu ya City hamna hio hadhi
Tunza hii comment yangu, hao chelsea na man u watachukua kombe kabla yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…